Kutoka Moshi kwenda Arusha hapo katikatiBoma ng'ombe ndio wapi huko?
Kwamba mamba hao hawang'ati?Ni wewe umechelewa kuyajua mambo haya
Hii nchi bhanaNi wewe umechelewa kuyajua mambo haya. Sabaya ndio aliweka vitisho kwa watakaosambaza habari Ila kwa tarifa yako. Watu wanapigwa sana
Onatoka iñji gani hujui Bomang'ombe?Boma ng'ombe ndio wapi huko?
Sasa dar inahusikaje mkuu?Acheni uoga Wanaume wa dar huyo huku mkoani anashikwa tu mkia anatulia.
😆Eti mnaogopa vitu vingiSasa dar inahusikaje mkuu?
JF team nimekutana na hii habari kwenye whatsap, naomba kwa mtu aliye karibu na maeneo ya huko Chemka atuambie kama ni kweli au ni uzushi? Naambatanisha na video na huo ujumbe unaozunguka
Kinga ni bora kuliko tiba. Hapa ni Chemka kule boma ng’ombe. Sehemu pendwa kwa kuogelea na natural Massage. Tahadhari imetolewa, Bwawa limeingia ruba. Mashuhuda wanasema Mamba wameonekana. Inaaminika Mamba hao wametokea mto Pangani.
Sababu zilizowawezesha Mamba hao kusafiri umbali mrefu inaaminika ni mvua zilizofululiza muda mrefu na mafuriko yaliyoanza Novemba mwaka jana yakaungana na mvua za masika za mwaka huu.
View attachment 2966676
Nenda na leoUpumbavu huu, nimeogelea hapo toka nina miaka 20, hata mwezi uliopita na miaka yangu 53 nimeoga hapo.
Nenda na leo
Upumbavu huu, nimeogelea hapo toka nina miaka 20, hata mwezi uliopita na miaka yangu 53 nimeoga hapo.