Pole mamaafacebook mungu ampe tahfif
pole sana mamaafacebook...
Pole sana mamaafacebook
Iambie ile crew ya Narok nitakuwepi hapo jioni.
Niko wiki ya pili sasa....afu wifi marejesho yupo kweli?
Pole sana mke mwenzangu mamaafacebook.
Mungu atakupa unafuu, utapona haraka.
Habari hii imfikie mume wetu MO11.
Na mume wangu TANMO.