Mamaaaa mbavu zangu!!

duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.............!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mmh! Mi' nilipita tu maana haya ni makubwa zaidi.:mod:
 
du hiyo ni kali sijapata kuona wala kusikia ndugu zangu
 
Jamani duniani kuna watu wa ajabu sana, huwezi amini leo kanisani nilikaa na jamaa mmoja anavuta sigara kanisani bila woga, nilitetemeka nusura niangushe bia yangu....

Nilikuwepo hapo kanisani pia, nilichoka kabisa Padri alipouliza: **** gani huyo anavuta sigara humu ndani, Sista akajibu: Si yule ****** pale mwisho.
 
Mie niliwaona woote wawili mnavyo jihangaisha na ulevi hadi mnajisahau kuwa mlikuwa kanisani! Ulikuwa msikiti ule........nikawa nietulia na shoga langutoka Lamu!
 
Ulegee na ushindiliwe ktk jina lako.
 
Mbavu zangu kwi, kwi,kwi,kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…