Mamaa Ziwa Nyasa linaondoka

Mamaa Ziwa Nyasa linaondoka

Unajua ni mambo ya kuzalilishana wazungu wasihusishwe ktk hili mtakuwa mnawapa kichwa ziwa lilikuwepo kabla ya wao kuja so its we Africa to decide its FATE.
Wanataka leta mambo ya historia eti mtu wa kwanza kuuona mlima kilimanjaro ................pumbavu kwani wachaga uliowakuta pale sio watu?
 
Huyu m-mama alikuwa wa kuchapa hata kama wanachukua ziwa awe amepata kichapo! Sasa haka ka-Dhaifu kenyewe kanachekacheka tu!

Hii kitu ingekuja enzi za Nkapa sijui ingekuwaje?
 
Wacha walichukuwa tu. Tuna maziwa kibao bahari madini kila aina vinawafaidisha mafisadi na ccm yao.
 
Tungejua faida tunayopata kwa uwepo wake
ingetusaidia kutoa maamuzi!
inawezekana hatunufaiki nalo au ni asilimia ndogo sana
ya watz walio jirani tu!!
 
kiukweli kabisaaa,hebu niambieni! hivi tukilikosa hili ziwa nyasa,mimi kama zamaulid nitapungukiwa na nini!!kusema kweli hata sijui limechangia nini kuwa hivi nilivyo!!!!
 
Nadhani angekuwepo Mkapa, tusingekuwa tunaongea habari hizi. Hapa kama ni mazungumzo yamegonga mwamba, vitendo vitumike.
 
Nani atatusaidia kwenye hili,hii ndiyo ramani iliyotolewa na nchi za ulaya na wameamua kuiunga mkono malawi,,,sasa nani atatupigania jamani wamalawi watatumaliza,,,,aibu hiii!

View attachment 67210

Nimekumbuka wimbo wa mchakamchaka enzi za primary
"Nyerere semaa,,semaa usiogope semaa,,sisi vijana hatuogopi vibaraka semaa"
Nahsi Nyerere angekuwepo ashatangaza vita zamaani
 
HUYU RAIS BANDA anawatafuta ubaya WATZ, ziwa lazima wote tufaidi, kama hataki , serikali itumie ile dawa iliyotumika kule uganda wakati wa utawala amin dada, tusiachie hata hatua moja kwa MALAWI
 
Jamani JK has nothing to do with this na hasa wanaodhani anatakiwa kuleta jeuri kwa kuwapiga Malawi
Haya mambo yanataka busara na hekima kujaribu kupindisha mipaka walio tugawa wakoloni ambayo leo hii ndio tuna Tanzania
 
Wakimaliza wamalawi wataanza wa Rwanda na Burundi,then Msumbiji na Zanzibar pia,Kenya na Uganda.....Tanzania itabakia na Tabora,Singida na Dodoma pekee!!
 
Siamini macho yangu na hizo ramani zenu, ebu cheki hii mbona inasema ziwa ni pachu kwa pachu na Tanzania. Tuondoe miwani ya mbao. Mimi nitabeba hii kwenda nayo kwenye kesi huko The Hague au UN:

Tanzania Map with Lakes.jpg
 
Quick question; is this confict only between Tanzania an Malawi or does Mozambique have to give up its part of the lake too?

I have the same concern too,after viewing that map......nadhani hawa wazungu nia yao ni kuongeza chumvi kwa kidonda.........haiigii akilini huo mpaka Mozambique uwe katikati alafu huku uwe nje.......ni fitina za wazi kabisa
 
aaaaaah,wacha mama achukue tu ziwa,huenda anajua kulitumia,sie n kucheka cheka tu na kulipuana ndo zetu,tuna vingapi hatuvitumii????madini kibao wanakuja kuchukua tu!wachina nao ndo hivo wanakuja kujichukulia,yaan hadi huyu maza anatuona maboya tu duuuuu,kweli kamba hukatikia pembamba,hii serikali ya familia imeshatuuza sasa wanatumalizia tu na kujichekeshachekesha heeee!aibu
 
Back
Top Bottom