Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Mkuu Episode, kwa kuwa ziwa lote wanaliita ziwa malawi, hivyo kutaka liwe mali ya Malawi, vipi kuhusu upande unaoingia Mozambique, nao upo katika mgogoro huu ?
Hakuna mgogoro upande wa Mozambique. Wakoloni waliweka wazi kabisa mpaka huo, na ni kama unavyoonekana kwenye ramani zote.
Mgogoro upo kati ya Malawi na Tanzania tu.