Mamaa...UKAWA ulimi wangu eeh!

Mamaa...UKAWA ulimi wangu eeh!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1396458958.622739.jpg
 
Hii katuni leo imekuwa ndio katuni Bora kwangu ha!ha! sijui alivyoiona imekuaje maana ha!ha!ha!
 
Prof. Shivji huyu huyu wa Mbezi Beach au mwingine?

Huyu huyu mnafiki mzandiki namba tatu maana mnafiki wa kwanza ni jk namba mbili ni sitta na sasa tumemvuna shivji sasa mimi nilitaka kujua tu huyu ni gabachori au ni mtanzania wa kilosa?
 
Wabongo kwa kuua uraia wa mtu si kazi. Kamuulize jenerali Ulimwengu!
 
Back
Top Bottom