Mrema aliendelea kusema kuwa suala la ufisadi hata Baba wa Taifa alilishindwa kwa sababu baadhi ya viongozi waliokuwa wakifanya naye kazi walipohusishwa na ufisadi aliwahamisha au kuwaongezea majukumu badala ya kuwawajibisha.
Mwingira aliuza ndege ya serikali, mbona Nyerere alimhamisha na kumpa ukuu wa mkoa wa Arusha? Balozi Mustafa Nyanganyi alinunua kivuko kibovu Mwalimu akampa ubalozi wa Marekani; Rais Kikwete amewapeleka watu mahakamani ninyi mnasema mtamtosa! alishangaa Mrema.
Huyu mama ni kiongozi wa ngazi za juu huko Chadema. Anampigia debe muungwana kwasababu amedokezewa kuwa kama muungwana atafanikiwa kuwa Rais hapo mwakani kuna uwezekano wa mwanae kuukwaa uwaziri!! Mama ndio hivyo anajipendekeza ili ndoto ya mwanae kuwa waziri itimie!! Mambo ya Dowans hayo; king maker bado anafanya vitu vyake.
Dear Selous; nilichoandika na nadhani umenielewa post yangu nzima , kuwa statement zozote zinazotolewa na vyama vya upinzani juu ya CCM na JK lazima ziwe critical.
Mbowe alisema JK avunje baraza la mawaziri, sentensi hii kwako Selous utakuwa umenielewa haraka sana nina maanisha nini. Ukisema leo hii JK avunje baraza la mawaziri, maana yake; JK ni mzuri, anafaa, wanaomwangusha ni mawaziri. Na je akishavunja bara za la mawaziri si atapata sifa? akipata sifa Chadema itashikaje nchi? still unataka usimame kugombea urais??. Ningeweza kueleza hili over and over. Yaani aligeuka kuwa consultant wakati tumemuweka awe mbele kuiondoa CCM, kuna statement nyingi sana ambazo utakuta wapinzani wanaongea wakidhani wanajenga kumbe wanaharibu. Mbaya zaidi kwa chadema ili shadeclare JK ni fisadi; leo hii anabadilika na kuwa msafi kiasi cha kumwabia avunje baraza la mawaziri
Habari iko humu humu JF, ebu jikumbushe hiyo thread. However nimependa ulivyouliza swali lako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/47458-jk-vunja-baraza-la-mawaziri-mbowe.html
nadhani nimejaribu kujibu
cheers
Si mshangai, maana kama mwanae aliweza kuhongwa na kina RA, wewe unategemea hajui radha ya kujiunga na magenge ya ufisadi wa TZ, Kaonjeshwa asali na Zito sasa anaamua na yeye akachonge mzinga, kwa maslahi ya kifamilia.
mwaka huu wa uchaguzi tutayasikia na kuyaona mengi.
Mrema mwongo. Aliyempa Nyang'anyi ubalozi wa Marekani ni Mwinyi. Nyerere was already out of power.
Tuonyesheni mahali pamoja ambapo Mbowe amemfisia JK. Tunachoona ni kuwa Mbowe humuita Kikwete kuwa ni kiongozi dhaifu na msanii-http://www.sekenke.com/bodi/showthread.php?t=10941
Mbowe anatambua kuwa Kikwete ameelemewa na nchi-https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19455-mbowe-kikwete-ameelemewa.html
http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/1/6/habari2.php
Mbowe alimbeza Kikwete kuhusu Dowans-http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/1/6/habari2.php
Mbowe alisema Kikwete alihongwa wakati wa uchaguzi: http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/1/6/habari2.php
Kwa hiyo huyo ndiye Mbowe mnayedai anamsifia Kikwete? Hebu leteni mifano ya maandishi
serayamajimbo
Nilituma post yenye maelezo haya, naomba read between the lines na uijibu, acha siasa, ukisema CCM wamefanya mazuri yapi nchi hii si watajazi vitabu?, Mbowe kumseam rais vibaya kipindi fulani hakufuti kauli yake ya kumfagilia kwenye ile link!!! siamini kama Sera ya Majimbo unaweza kujibnu post ulivyoijibu, umejibu kishabiki, na hujasema ile particula post na maelezo yake!
Jibu this particular post, muwe waangalifu kujibu vitu vingine huwa havijibiki kabisa.
This was my post:
Kama kuna maana zimefichwa basi utueleze na utuambie sisi wananchi wa kwaida tunajuaje hizo maana, This is not Mesiah proverbs
Dear Selous; nilichoandika na nadhani umenielewa post yangu nzima , kuwa statement zozote zinazotolewa na vyama vya upinzani juu ya CCM na JK lazima ziwe critical.
Mbowe alisema JK avunje baraza la mawaziri, sentensi hii kwako Selous utakuwa umenielewa haraka sana nina maanisha nini. Ukisema leo hii JK avunje baraza la mawaziri, maana yake; JK ni mzuri, anafaa, wanaomwangusha ni mawaziri. Na je akishavunja bara za la mawaziri si atapata sifa? akipata sifa Chadema itashikaje nchi? still unataka usimame kugombea urais??. Ningeweza kueleza hili over and over. Yaani aligeuka kuwa consultant wakati tumemuweka awe mbele kuiondoa CCM, kuna statement nyingi sana ambazo utakuta wapinzani wanaongea wakidhani wanajenga kumbe wanaharibu. Mbaya zaidi kwa chadema ili shadeclare JK ni fisadi; leo hii anabadilika na kuwa msafi kiasi cha kumwabia avunje baraza la mawaziri
Habari iko humu humu JF, ebu jikumbushe hiyo thread. However nimependa ulivyouliza swali lako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/47458-jk-vunja-baraza-la-mawaziri-mbowe.html
nadhani nimejaribu kujibu
cheers
- Ni kweli na ilikuwa ni kampeni maalum iliyompeleka hata Marehemu Mwakawago Italy!
Respect.
FMEs!
Walahi wewe ni mzushi!Usisahau kua ni hizi hizi katiba na demokrasia ndio zilizotufikisha hapa tulipo. Nchi isiyo na matumaini.
Unajua upo kwenye jukwaa la siasa? Bila kutumia akili nyingi,
Mbowe amemsema JK vibaya mara nyingi kuliko kumsema vizuri. Halafu wewe ndo unaona kamsema vizuri ila mimi big NO.
Kama wewe na wengine wote wanatumia hio statement, nijuavyo na ndicho kinachonisababisha niipende na kusahbikia CHADEMA ni kuwa ni Yeye alikubali kushindwa ndo maana akaenda kwenye matangazo ya matokeo na pia is cheap kuvunja baraza rather than any.
Hebu jibu hili tena.
Mkuu how can yo demand an answer from indiscreet person like me? or are you too like me? I think from my low mind, forums should not be like that. So go on man discuss with other people who are genius like you.
cheers
Mi-danganyika bwana ati kisa Mh. Zitto ni public figure... sasa inatulazimisha tuone kwamba pia mama yake ni public figure... I hate vichwa maji!
Nilituma post yenye maelezo haya, naomba read between the lines na uijibu, acha siasa, ukisema CCM wamefanya mazuri yapi nchi hii si watajazi vitabu?, Mbowe kumseam rais vibaya kipindi fulani hakufuti kauli yake ya kumfagilia kwenye ile link!!! siamini kama Sera ya Majimbo unaweza kujibnu post ulivyoijibu, umejibu kishabiki, na hujasema ile particula post na maelezo yake!
Jibu this particular post, muwe waangalifu kujibu vitu vingine huwa havijibiki kabisa.
This was my post:
Dear Selous; nilichoandika na nadhani umenielewa post yangu nzima , kuwa statement zozote zinazotolewa na vyama vya upinzani juu ya CCM na JK lazima ziwe critical.
Mbowe alisema JK avunje baraza la mawaziri, sentensi hii kwako Selous utakuwa umenielewa haraka sana nina maanisha nini. Ukisema leo hii JK avunje baraza la mawaziri, maana yake; JK ni mzuri, anafaa, wanaomwangusha ni mawaziri. Na je akishavunja bara za la mawaziri si atapata sifa? akipata sifa Chadema itashikaje nchi? still unataka usimame kugombea urais??. Ningeweza kueleza hili over and over. Yaani aligeuka kuwa consultant wakati tumemuweka awe mbele kuiondoa CCM, kuna statement nyingi sana ambazo utakuta wapinzani wanaongea wakidhani wanajenga kumbe wanaharibu. Mbaya zaidi kwa chadema ili shadeclare JK ni fisadi; leo hii anabadilika na kuwa msafi kiasi cha kumwabia avunje baraza la mawaziri
Habari iko humu humu JF, ebu jikumbushe hiyo thread. However nimependa ulivyouliza swali lako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/47458-jk-vunja-baraza-la-mawaziri-mbowe.html
nadhani nimejaribu kujibu
cheers
Kama kuna maana zimefichwa basi utueleze na utuambie sisi wananchi wa kwaida tunajuaje hizo maana, This is not Mesiah proverbs
Walahi wewe ni mzushi!
Kama kungelikuwa hakuna matumaini ungeliishi wewe na kuandika? Moja ya laana kubwa duniani ambayo hata kanisa katoliki linachukia ni kukata tamaa kwani ni moja ya mizizi mikubwa yenye kuchota maji mengi ya chuki na hasira na kukwepa matumizi ya busara na kutengeneza busati kama mbuga ya ngongoro ambapo huoni horizoni na majani unakula kwa kuzingatia uwezo wako.
Ndio kusema kama hutumii akili huwezi kutumia busara, na kwa kuwa huna busara huwezi kujenga hoja bali kukatisha tamaa watu wengine wenye nia na dhamira safi ya kuhudumia miaka 50 ya kuchapa kazi na mingine 20 ya kutoa ushauri kwa kizazi kijacho.