Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Huyu mama alilazwa India wakashindwa ndo ameletwa hapa!!India wakati inafahamika ana cervical cancer ni kujisumbua tu,CANCER HAINA DAWA!
Hilo andiko lipo kwenye bible sijui kama lipo kwenye kitabu anachokiamini yeyePole sana Mama Zitto,Mwenyezi Mungu akujalie nafuu. Kwa Mungu hakuna lisilowezekana
Hilo andiko lipo kwenye bible sijui kama lipo kwenye kitabu anachokiamini yeye
Pole sana Mama Zitto,Mwenyezi Mungu akujalie nafuu. Kwa Mungu hakuna lisilowezekana