Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Mama yake Zitto, bi Shida Salum ambaye ni kada wa CHADEMA, amelazwa chumba cha uangalizi maalum(ICU) kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya shingo ya uzazi.

Source: Mwananchi leo
 
Mimi nadhani tunahitaji kuwa wastaarabu......si kila wakati....kila mahali......tunapiga siasa tu.......hii habari inahusu habari za ugonjwa wa binadamu mwenzetu........mama yetu.......Mtanzania mwenzetu.......kwanini tunaanza kujadili siasa zake badala ya kumtakia heri?.......mtafanya hata sisi wapenda mageuzi tuchukie siasa hizi uchwara......tuwe na staha na heshima....siasa ni siasa......ubinadamu ni ubinadamu....

Pole sana Mama Zitto...

Note;

Mods tayari wamerekebisha comments zote zilizofanya niandike haya..........
 
Najua hiki ni kipindi kigumu kwa familia ya bi Shida Salim, Tunamuombea mama yetu mpendwa kwa Mwenyezi Mungu amjalie afya njema na arudi kulitumikia taifa lake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom