Mama Yetu Salima Hawezi Kupasua Mayai?

Kwani ni nini Kujua Kingereza, kwani Mkalimani hakuwepo ?, sio tatizo kabisa, mama Salama ni a victim wa elimu ya Nyerere,kufunzwa kiswahili, na kuanza kutumai kingereza wakati umesha komaa akili kujifunza lugha mpya .Wangapi hawajui kimombo na wako vizuri tuu, sio tatizo yeye ni Mke wa raisi, haitaji kuna na PHD jamani.
 
hivi mbona Angela Merkel akienda nje anaongea Kijerumani? kwanini wasiweke watu wa kutafsiri pamoja nae?
 
Bado hatujafikia kizazi cha kuita kiswahili lugha ya mama (mother tongue) ingawa ni lugha taifa
 
Not to undermine the importance of English, but the Dalai Lama kiingereza manati, lakini anaheshimika dunia nzima.
 
Sasa kama hajui kiingereza huo ufesti ledi si angempa demu wangu Prisca Mutabazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom