The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
ni kule sauzi wanako randaranda mitaani na baba ritzi wani wakati watz wanaendelea na maisha bora kwa kila mtanzania kwa ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi.
salima alijuta alipotembela kituo cha kulelea watoto yatima na kukutana na anayekiendesha ambaye hajui kizulu wala kihosa. mama huyu mwenye kituo yeye kuongea kingereza ni rahisi kama serekali ya jk na ufisadi.
bi salima aligeuka bubu gafla na muda wote yule mama alikuwa akisua mayai, salima alibaki kupigwa butwaa na kujibu kwa kutamka "mmmh" "mmmh". mzungu alikuwa akiongea kama vile yuko peke yake. na muda wote mwandishi wa habari alikwepesha kamera isimuoneshe mama yetu wa magogoni alivo mweupe kwenye ishu ya intanesheno langweji. hii ni aibu sana kwa mama yetu salima.
alikuja kuoneshwa kwenye kamera pale alipopohojiwa na mwandishi aliyetumia lugha ya kariakoo. kiswahili. hapo tena salima alionekana mwenye bashasha, lakini alichoongea mimi sikupata mantiki.
kazi ipo.
malizeni basi huo uzururaji jamani mje huku kwamtogole hatuna umeme wala maji.