Mama yetu adhalilishwa

Halafu inaonekana huyo mama hakuwa peke yake kuna wengine hapo mbele japo hawako pichani. HEBU angalia macho ya hao watoto wanaoshangaa hayamwangalii huyo mama kabisa
 
mwandishi asingepaswa kurusa picha kama hiyo kwenye public bwana, hata kama huyo mama angekuwa ni binti
 

Huyu kayataka mwenyewe! Nakuuliza weye unayemtetea yeye kakulalamikia? Je yeye anajua kuwa hicho anachokifanya ni kujidhalilisha yeye na wanawake wenzie kwa ujumla? Kwa jinsi alivyotabasamu, sidhani!!!:evil:
 
Huyo mama inabidi ashitakiwe kwa kukaa uchi hadharani (kuudhalilisha utu!) kwa makusudi. Hata hivyo, magazeti nayo inabidi kuchuja picha za kuweka hadharani. Naamini maadili ya uandishi hayakuzingatiwa vema na gazeti husika (kama ni kweli picha hiyo ilichapishwa kwenye gazeti).
 
Tuacheni utani jamani huyu kaamua mwenyewe kinachonisikitisha ni hao watoto wa watu wanavyoshangaa hata hawaelewi
 
Ndio, amejifunua mwenyewe. Ni sawa kuwa anajipa raha mwenyewe, lakini anachohoji Yo Yo ni je, jamii inastahili kuwa na michezo kama hii hata kama watu watakuwa wanaicheza kwa hiari ya moyo, hasa inapochezwa hadharani mbele ya watoto wadogo kama hao?
mimi huwa nashangaa,,maisha ya wa tz,,watu wanaongea wanadhani tunaishi kama unform,,,saresare,,,tunatamaduni zetu,,,,wengine matiti wazi wengine tombo wazi wengine,,,mabega wazi,,,ngoma zetu wapi zinachezwa na suti,,,,,,utamaduni wa waarabu wakujifunika gubigubi,,umeathiri watu sio utamaduni wetu tumeiga na chakuiga hakidumu,,,,,tuna makabila zaidi ya 122,,,,utamaduni wetu hapo ni upi,,,,,,ukiwaona mabinti wa kipare ngomani,,,wahaya,,,,wagogo wamakua,,,,,,wasonjo,,wahadbe nk,nk,,,
 
Nadhani kichwa cha Habari kingepaswa kuwa "Mama zetu wanajidhalilisha".
Kumbuka hakuna mtu aliyemlazimisha kujifunua ni kwa utashi wake kafanya hivyo.
Kama alikuwa radhi kujionesha mbele ya kadamnasi, kwa nini walishutumu gazeti, angepigwa picha akiwa faragha kweli ingekuwa si ustaarabu.
 
Chezea castla laga wewe?
Hapo akiongeza moja kitakachotokea hata hao watoto hutawaona.
 
Kweni haya magazeti hayana Censorship comittee.
 

Cheki watoto hapo pembeni wanavyosikitika alf mbona kavaa Boxer.
 

Kadhalilishwa na gazeti au kajidhalilisha mwenyewe, kwanini afanye mambo hayo hadharani? ingekuwa yuko faragha kamera ingemuonaje? ukifanya upuuzi wako hadharani unategemea itakuwa siri?
Haya sasa kama unasema gazeti limemdhalilisha huyo mama na wewe mbona umefanya kosa hilohilo kuweka picha mtandaoni!
 

waandishi hapa hawana kosa kazi yao nikutufahamisha jami mambo ambayo hatuyajui huyu mama kaamua mwenyewe kumwaga radhi
 
mbona kama mwili na parking haviendani? mwili mkubwa lakini parking ndogo
 
Tuacheni utani jamani huyu kaamua mwenyewe kinachonisikitisha ni hao watoto wa watu wanavyoshangaa hata hawaelewi

Hata mm nimewaona hao watoto...wameshangaa hadi midomo wameifunika na viganja...jamani halafu mdada mzuri mwenyewe ika pombe ndio imemtoa utu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…