Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,158
- 9,168
limelewa
Haaahaaa..ni nadra kuonekana kwenye jukwaa lingine zaidi ya kule kwetu Kibweka.
limelewa
Inahitaji uwe na moyo wa spea kuyaona hayo, maana mie nime-click back button fasta fasta baada tu ya kuliona hiloo...sijui ndo tuliiteje.lina map...a mazuri......
![]()
jamani wamama wetu wanaendelea kudhalilishwa...haiwezekani mama yetu kama huyu adhalilishwe kiasi hiki na sisi tunaangalia tu.....imagine watoto wake wanaangalia mama yao anavyodhalilishwa hivi jamani...inatia uchungu sana.....natoa wito wa wamama wana sheria wa kituo cha haki za binadamu kuangalia na hili sio ku deal na kesi yab lulu tu......
Eti wanasema walikuwa wanacheza mziki wa taarabu...sawa sasa ndio wadhalilishwe hivyo na magazeti ya udaku jamani.....
![]()
Jamani wamama wetu wanaendelea kudhalilishwa...haiwezekani mama yetu kama huyu adhalilishwe kiasi hiki na sisi tunaangalia tu.....imagine watoto wake wanaangalia mama yao anavyodhalilishwa hivi jamani...inatia uchungu sana.....natoa wito wa wamama wana sheria wa kituo cha haki za binadamu kuangalia na hili sio ku deal na kesi yab Lulu tu......
Eti wanasema walikuwa wanacheza mziki wa taarabu...sawa sasa ndio wadhalilishwe hivyo na magazeti ya udaku jamani.....
chupi nyeusi ni kielelezo cha uchafu