Kabila gani mama yako?samahani kama nitakukwazaHabari wana jf, nina tatizo na ninaomba msaada wako.
mimi nina mchumba wangu na ni mengi tuliyopanga ya hapo baadaye ili kutimiza azama ya mioyo yetu, lakini ninashindwa kumuelewa mama yangu anatatizo gani? Kwani kila niongeleapo habari kuhusu mchumba niliyenaye huwa mkari sana na anadai kuwa ninamzarau, kuna siku mtu wangu alipigwa na mdogo wa mama kwa madai kuwa eti hana hazi ya kuwa nami, mchumba niliye naye anadai kuchoshwa na tabia anayoonyeshwa na ndugu zangu wazi wazi kuwa hawamuhitaji tena hata mama yangu mzazi. Kweli nimeshindwa nifanye nini na ninampenda sana lkn anadai kuwa mzazi na ndugu zangu kama hawamtaki sasa hata nikija kumuoa ni nani atakaye kuwa karibu naye? Nimejaribu kumueleza lkn mama yangu anazidi kumuonyesha chuki dhahiri kuwa hampendi mchumba wangu.
Je, niachane na mchumba wangu kwasababu ya mama? Au niachane na mama yangu ili niendelee na mapenzi yangu kwa mwenzangu? Naomba msaada wako please.....
Kwani una miaka mingapi? Unaishi kwa Mama yako?Habari wana jf, nina tatizo na ninaomba msaada wako.
mimi nina mchumba wangu na ni mengi tuliyopanga ya hapo baadaye ili kutimiza azama ya mioyo yetu, lakini ninashindwa kumuelewa mama yangu anatatizo gani? Kwani kila niongeleapo habari kuhusu mchumba niliyenaye huwa mkari sana na anadai kuwa ninamzarau, kuna siku mtu wangu alipigwa na mdogo wa mama kwa madai kuwa eti hana hazi ya kuwa nami, mchumba niliye naye anadai kuchoshwa na tabia anayoonyeshwa na ndugu zangu wazi wazi kuwa hawamuhitaji tena hata mama yangu mzazi. Kweli nimeshindwa nifanye nini na ninampenda sana lkn anadai kuwa mzazi na ndugu zangu kama hawamtaki sasa hata nikija kumuoa ni nani atakaye kuwa karibu naye? Nimejaribu kumueleza lkn mama yangu anazidi kumuonyesha chuki dhahiri kuwa hampendi mchumba wangu.
Je, niachane na mchumba wangu kwasababu ya mama? Au niachane na mama yangu ili niendelee na mapenzi yangu kwa mwenzangu? Naomba msaada wako please.....
Wana jf samahani kidogo, mimi ninaishi kwangu na wala sipo nyumbani. Siku ambayo nilikwenda kumtambulisha mama yangu juu ya mwenza niliyenaye ndipo chuki zilianza, awali walikuwa wanapendana sana na wakati huo nilikuwa ninamahusiano naye bila ya yeye mama kutambua na alikuwa anajitahidi sana kumtembelea mama. Nilipokwenda kwa mama kumfahamisha kuwa huyu ndiye ninayehitaji kuishi naye, alianza kumchukia hadi sasa ni miezi isiyopungua mitatu{3} bado chuki zinaendelea kwa mwenzangu. Nimejaribu kumuuliza ni kwanini anafanya haya yote? Ananijibu kuwa "sitaki huyo binti awe na wewe" anielezi sababu yoyote kuhusu kauli yake, anachotaka yeye ndiyo hicho kutoka kwangu, na anadai kuwa nikitaka niwe ninakwenda kwake ni lazima niachane kwanza na huyu binti ndipo niende kwake. Na mimi nashindwa kutambua ni vp nifanye?