Mama yangu ni tatizo

Mama yangu ni tatizo

Kipato

Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
29
Reaction score
4
Habari wana jf, nina tatizo na ninaomba msaada wako.

Mimi nina mchumba wangu na ni mengi tuliyopanga ya hapo baadaye ili kutimiza azama ya mioyo yetu, lakini ninashindwa kumuelewa mama yangu anatatizo gani?

Kwani kila niongeleapo habari kuhusu mchumba niliyenaye huwa mkari sana na anadai kuwa ninamzarau, kuna siku mtu wangu alipigwa na mdogo wa mama kwa madai kuwa eti hana hazi ya kuwa nami, mchumba niliye naye anadai kuchoshwa na tabia anayoonyeshwa na ndugu zangu wazi wazi kuwa hawamuhitaji tena hata mama yangu mzazi.

Kweli nimeshindwa nifanye nini na ninampenda sana lkn anadai kuwa mzazi na ndugu zangu kama hawamtaki sasa hata nikija kumuoa ni nani atakaye kuwa karibu naye? Nimejaribu kumueleza lkn mama yangu anazidi kumuonyesha chuki dhahiri kuwa hampendi mchumba wangu.

Je, niachane na mchumba wangu kwasababu ya mama? Au niachane na mama yangu ili niendelee na mapenzi yangu kwa mwenzangu?

Naomba msaada wako please.....
 
Muulize kwanza mama yako nini kinamfanya amchukie huyo mchumba. Mwenye mapenzi haoni, na akiona chongo huita kengeza. Anaweza kuwa anamjua huyo mchumba wako "the other side", so usidharau. Waulize halafu lete hizo sababu watakazokuambia tuje tujadili hapa.
 
TANMO kivipi na wakati huo yeye ananionyesha dhahiri kuwa hampendi mtu wangu?
 
Habari wana jf, nina tatizo na ninaomba msaada wako.
mimi nina mchumba wangu na ni mengi tuliyopanga ya hapo baadaye ili kutimiza azama ya mioyo yetu, lakini ninashindwa kumuelewa mama yangu anatatizo gani? Kwani kila niongeleapo habari kuhusu mchumba niliyenaye huwa mkari sana na anadai kuwa ninamzarau, kuna siku mtu wangu alipigwa na mdogo wa mama kwa madai kuwa eti hana hazi ya kuwa nami, mchumba niliye naye anadai kuchoshwa na tabia anayoonyeshwa na ndugu zangu wazi wazi kuwa hawamuhitaji tena hata mama yangu mzazi. Kweli nimeshindwa nifanye nini na ninampenda sana lkn anadai kuwa mzazi na ndugu zangu kama hawamtaki sasa hata nikija kumuoa ni nani atakaye kuwa karibu naye? Nimejaribu kumueleza lkn mama yangu anazidi kumuonyesha chuki dhahiri kuwa hampendi mchumba wangu.
Je, niachane na mchumba wangu kwasababu ya mama? Au niachane na mama yangu ili niendelee na mapenzi yangu kwa mwenzangu? Naomba msaada wako please.....
Kabila gani mama yako?samahani kama nitakukwaza
 
inaonekana kwanza huna msimamo na umelelewa upande m1 vilevile inawezekana baba wa huyo mchumba wako ni step father wako hilo kama sio tatizo basi huyo girlfriend wako alishawahi kuchagia na your mom,think big utapata ukweli.
 
Habari wana jf, nina tatizo na ninaomba msaada wako.
mimi nina mchumba wangu na ni mengi tuliyopanga ya hapo baadaye ili kutimiza azama ya mioyo yetu, lakini ninashindwa kumuelewa mama yangu anatatizo gani? Kwani kila niongeleapo habari kuhusu mchumba niliyenaye huwa mkari sana na anadai kuwa ninamzarau, kuna siku mtu wangu alipigwa na mdogo wa mama kwa madai kuwa eti hana hazi ya kuwa nami, mchumba niliye naye anadai kuchoshwa na tabia anayoonyeshwa na ndugu zangu wazi wazi kuwa hawamuhitaji tena hata mama yangu mzazi. Kweli nimeshindwa nifanye nini na ninampenda sana lkn anadai kuwa mzazi na ndugu zangu kama hawamtaki sasa hata nikija kumuoa ni nani atakaye kuwa karibu naye? Nimejaribu kumueleza lkn mama yangu anazidi kumuonyesha chuki dhahiri kuwa hampendi mchumba wangu.
Je, niachane na mchumba wangu kwasababu ya mama? Au niachane na mama yangu ili niendelee na mapenzi yangu kwa mwenzangu? Naomba msaada wako please.....
Kwani una miaka mingapi? Unaishi kwa Mama yako?
Hii kitu hainiingii akilini. Wewe ndo utakua na matatizo mkuu, Yaani Mama mdogo ampige mpenzi wangu aendelee kuongea!? Yeleuuuwiii...!!.

Ndugu akitaka nimheshimu aheshimu kwanza familia yangu na maamuzi yangu. Anaruhusiwa kunishauri lakini si kunilazimisha nifuate ushauri wake.

Huyo mdogo wake mama kashapitia ubondia nini? Mbona mgomvi sana.

Mama yako kamshitaki kwa mwenyekiti wa Ukoo.

Mambo ya mapenzi bwana hayana ushauri, wewe na akili yako. Hadi hapo umeonesha udhaifu wa hali ya juu. Unampenda mpenzi wako kweli? mia
 
tatizo la kuishi kwa mama,
toka hapo nyumbani kapange sehemu nyingine uwe huru na maisha yako
 
Mwakata mwanawitu,wanyiha ndivyo tulivyoo,sasa kuna mawili,mama anamjua mchumba wako zaidi ya ww unavyomjua,pili muite mama kwa upole mwambie mama niko tayari kukusikiliza kuhusu mchumba wangu,harafu mwambie akupe sababu kwa nn hamtaki then mwambie ntakuwa na msimamo na ushauri wake,mama atakwambia tu,harafu ukishamtega akikueleza ww fatilia na chunguza kwa makini je mama mkweli na uwe taratibu wala usimweleze mchumba wako chochote,na uwe nae kwa raha zako wakati ukifanya uchunguzi na asijue chochote,ukibain ndivyo huna budi kuendelea,na ukiona anachokweleza mama ni ubinafsi wa kabila au chuki tu nakushauri oa mapema mchumba wako ww ndie utakaeishi nae na si wao sawa baba,atwi tuliwapuma hansi
 
Dadisi sawasawa sababu za mama kuwa na msimamo huo. Ukizipata zipime. (a) iwapo sabab zitolewazo hazina uzito kwako mwoe tu huyo binti - maana ni maisha yako hayo. (b) Kama sababu za mama zina uzito jibu utakuwa umelipata na utaachana naye ujaribu tena.
 
Mama yko anakutakia kheri msikilize yy ...mapenzi maji ya moto yasikusahaulishe thaman ya mama yko
 
Wana jf samahani kidogo, mimi ninaishi kwangu na wala sipo nyumbani. Siku ambayo nilikwenda kumtambulisha mama yangu juu ya mwenza niliyenaye ndipo chuki zilianza, awali walikuwa wanapendana sana na wakati huo nilikuwa ninamahusiano naye bila ya yeye mama kutambua na alikuwa anajitahidi sana kumtembelea mama. Nilipokwenda kwa mama kumfahamisha kuwa huyu ndiye ninayehitaji kuishi naye, alianza kumchukia hadi sasa ni miezi isiyopungua mitatu{3} bado chuki zinaendelea kwa mwenzangu. Nimejaribu kumuuliza ni kwanini anafanya haya yote? Ananijibu kuwa "sitaki huyo binti awe na wewe" anielezi sababu yoyote kuhusu kauli yake, anachotaka yeye ndiyo hicho kutoka kwangu, na anadai kuwa nikitaka niwe ninakwenda kwake ni lazima niachane kwanza na huyu binti ndipo niende kwake. Na mimi nashindwa kutambua ni vp nifanye?
 
oa weka ndani ana chuki binafsi basi ,umempenda ww
 
Labda baba yenu ni mmoja...Aisee usicheze na mama zetu..! Wameficha mengi kwa moyo hao ooohooooo!!!!!
 
Back
Top Bottom