Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,282
Kuna watu wajinga hakuna mfano. Baba ndo kakutunza wewe na mama yako. Ni sawa na usafiri na gari ulishukuru bodi la gari ukayadharau matairi ambayo 1 yamelibeba gari, 2.
Yalizunguka njia nzima kuhakikisha safari inaisha salama 3. Wakati yanazunguka yalisuguana na lami hivo kuisha taratibu ili wewe ufike safari yako mapema.
Hata mm nikiwa mdogo nlimpenda sana mama yangu ila utu uzima ukanifunza kuwa baba ndie wa kusifiwa na sio mama kama nlivyofikiri