Mama yangu anataka mjukuu.

Mama yangu anataka mjukuu.

wadhani ni nyie tu ndo mwaangalia wife material?hata sisi twajua huyu bwana ni wa kuuzia sura mtaani ama wa kujenga naye family, so huyu wangu ni wa ku-show off tu
kama yumo humu ataanza kulia muda si mrefu.Kwa hiyo kwenye suala la kufikishana kileleni yuko NOAH mwingine?Ngoja nimuite FP akusikie
 
Last edited by a moderator:
hayumo humu kileleni ananifikisha yeye ila ndo hivo hajaqualify kuwa husband
kama yumo humu ataanza kulia muda si mrefu.Kwa hiyo kwenye suala la kufikishana kileleni yuko NOAH mwingine?Ngoja nimuite FP akusikie
 
madameA una maoni gani katika hili?naona umenyuti tu hapo

Yaani huwa sielewi MAMA zetu kwa nini wanamind sana kuolewa. Na kwa kiwango fulani wanachangia wasichana wengi kuolewa na watu ambao sio sahihi. Nilishawahi kusema kuwa wadada wengi wanafunga ndoa si kwa hiari yao ila huwa wanafanya hivyo kwa ajili ya shinikizo la jamii inayowazunguka ambao na mama zetu wakiwepo ndani yake. Sasa sijajua sijui huwa wanakuwa na hamu ya kucheza kitchen party ili watunzwe au ni show off kwa wamama wenzao yaani hata haieleweki. Kwa sababu kama ni wajukuu wakati mwingine utakuta anao kibao kutoka kwa watoto wake wengine. Hapo issue sio mjukuu, ila anataka uolewe ili na yeye aonekane ameozesha. Anasahau kuwa kuolewa sio garantee ya kuwa na mtoto, kuna ndoa nyingi zinalia kuhusu kupata mtoto. Nakushauri onesha msimamo kwenye hilo, tengeneza uongo wowote ili MAMA atulie wakati ukiendelea kumuomba mungu akupe mume atakayekufaa kwenye maisha yako. Wanaume wana KERO nyingi, ili uweze kuzivumilia hizo KARAHA inatakiwa uolewe na mtu unayempenda wewe na si kwa shinikizo la wazazi.
 
Haha azoteee yule ni wa starehe tu kwenye formal part zote lazima atoke na mimi hata hivyo hayuko vizuri kichwani thats why nahofia kuzaa naye nisije zaa mtoto asiye genious
yule mme wa mtu vipi?hataki uzae nae?
 
Back
Top Bottom