dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
mwambie una AIDS.
Damn it khaa siamini nilichokisoma
mwambie una AIDS.
Please!!!!, mimi mapene ya huyo chalii ninayo bhana, wewe hutakiwi kuhangaika baba yake nipo fiti, tufanye mpango bhana, si eti?hapana nikiamua kuzaa nitastop ajira kwa miaka miwili for now natafuta mapene ya huyo chalii kwanza
AIDS means " African Independent Development Syndrome" By Dr Willy Mtunga, Chief Justice, Kenya.mwambie una AIDS.
Please!!!!, mimi mapene ya huyo chalii ninayo bhana, wewe hutakiwi kuhangaika baba yake nipo fiti, tufanye mpango bhana, si eti?
tehe tehe wacha tu kanambia ni kijana msomi kutoka kwa madiba huko, watanifanya nitegeshe mimba ya huyu msela nisiyekuwa na future naye
Duuu!, hapo nitashindwa sasa.pesa ya kawaida ya kubadili usafiri ninayo nataka wanangu waishi kama wafalme so napiga mzigo akaunti inone kuzaa bila kujua future ya watoto kushapitwa na wakati
sasa utafanyaje mwanangu?kama vp wape ultimatum ya miez3 utakuja na mchumba wako bush hukohuko kwa wajomba
Vijana hatuwaelewi lugha zenu hizo.mkuu usipate presha
tatizo mie bado sijamaliza kula starehe za ujana na sijawa tayari kubeba jukumu la kulea mtoto kwa wakati huu
khaaaa wewe nawe
badala ya kumuogopa Mungu unaogopa binadamu..... Eti wajomba? Hao wajomba hawana watoto wawaoze wapate wajukuu?
Mama yako mjibu tu kiheshima "hapana. Sio sasa. Na nitaolewa na mtu nilomchagua. " ndoa sio kuvaa shela na kufurahisha watu kula pilau..... Ndoa ina changamoto unapaswa kuolewa na mtu ulomchagua na uloridhika nae ili uweze kuvumilia changamoto zote in the name of love.
Mmmh nikiwe kwa nn unakuwa hivyo? Unajua hapo unakiwa unajipenda binafsi zaidi...sidhani kama umeshawahi kumpenda mtu zaidi yako? Raha za ujana ndo zipi hadi ushindwe kuanzisha familia..mi.na uzee wangu bado maisha nayaona kuwa yana meaning kwa vile sina ninachokosa kwa kuwa na familia
Bahati mbaya kwako nduguzo wanaguata philosophy ya kiafrika kuwa huishi in isolation ndo maana wanataka mjukii wao..sio mtoto wako na una obligation ya kuwapatia.
So chagua mmoja kisha uanze mchakato wa ndoa. Isije ikafika wakati unataka mtoto ukamkosa kwa sbbu ya ugonjwa au vingine.
Have a blessed sunday
Habari za wakati huu wana MMU, ni wiki ya pili sasa toka mama yangu mzazi aje kunitembelea.Nimefurahi na kiasi flani nyumba imechangamka.ishu iliyonisukuma kuandika uzi huu usiku huu ni kuwa mama ananilazimisha niolewe ama nizae ilhali mie siko tayari kwa sasa.ananiambia wamenitafutia mchumba huko nyumbani kwani shule nilishahitimu nina kazi na maisha yake mahali pake.kwahiyo jambo lililobaki ni kuolewa na kuanza familia.anasema wajomba wamemtuma na anatakiwa arudi na jibu.nimekosa raha kwakweli na nimekuwa nachelewa kurudi nyumbani from job,kwani nikitoka tu kazini napitia bar najilipua vya kutosha hadi mida mibovu nikirudi nakuta kalala.leo kanikamata kutwa nzima sijatoka na amenambia hataondoka hapa kwangu hadi nimpe jibu la uhakika.kwa mila za kwetu wajomba wana nguvu sana na nawaogopa sana wajomba zangu.wala sitaki kuwavunjia heshima.ila sina mpango wa kuolewa bali nimepanga kupata mtoto nayo si leo wala kesho.
nahitaji mchango wenu wa mawazo.huyu maza nampa jibu gani ili aniache niendelee kuishi life style niliyoizoea?​

we mdada acha mawazo machafu ya kuzaa bila kuolewa naona unavyojilupua umeanza kukubuu ndiyo maana bi mkubwa kastuka anataka uolewe uache uhuni mwisho wake utajikuta umekuwa teja, na siku unajua umuhimu na heshima ya ndoa utakuwa uwezi kuipata,