ukiamua kuwa mtawa anendelea kusema msiache afu muwake tamaa, km wewe una wazo la kuzaa na mtu aisei bora kaolewe kiukweli siukatai uzungu lakini pia siupendi, cheza katkat ur african we see as moral lady in africa are those looking for sufficient married ungesema hujaona mwanaume wa kukuoa make wanaume wote tuna tabia mbaya mimi ningekuelewa na kukushauri uweke tumaini lako kwa mungu maana si kweli wanume wote tu wahuni na sikwamba kila aliye kweye ndao anajuta, ni baadhi walio ingia kimakosa, bila ruhusa ya mungu kama una hofu ya mungu mtafute mwenye hofu ya mungu kama wewe u will neva regret ur married shida wadada wengi wa mjini wanatafuta kazi kwa sura zao, wanaishi mjini kwa sura zao maana ata wakipata kazi mshahara hauwatoshi kutokana na tamaa zao za kutaka kuimitate maisha wewe umekulia uswahili lakini baada ya chuo unataka uchange life style uwe unaenda dinner mlimani city lazima hapo utumike na shetani maana kwa shetani hakuna vya bure, na majuto yake ni mazito,,,,, samahnai kama nakukwaza naomba nifunge mjadala hivi ndivyo nionavyo mimi ingawa wenda ata mimi ni mwovu mbele za bwana ila natamani kuishi na kuwa kama maandiko yasemavyo!