Mama yangu anataka mjukuu.

Mama yangu anataka mjukuu.

nikiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
775
Reaction score
345
Habari za wakati huu wana MMU, ni wiki ya pili sasa toka mama yangu mzazi aje kunitembelea.Nimefurahi na kiasi flani nyumba imechangamka.ishu iliyonisukuma kuandika uzi huu usiku huu ni kuwa mama ananilazimisha niolewe ama nizae ilhali mie siko tayari kwa sasa.ananiambia wamenitafutia mchumba huko nyumbani kwani shule nilishahitimu nina kazi na maisha yake mahali pake.kwahiyo jambo lililobaki ni kuolewa na kuanza familia.anasema wajomba wamemtuma na anatakiwa arudi na jibu.nimekosa raha kwakweli na nimekuwa nachelewa kurudi nyumbani from job,kwani nikitoka tu kazini napitia bar najilipua vya kutosha hadi mida mibovu nikirudi nakuta kalala.leo kanikamata kutwa nzima sijatoka na amenambia hataondoka hapa kwangu hadi nimpe jibu la uhakika.kwa mila za kwetu wajomba wana nguvu sana na nawaogopa sana wajomba zangu.wala sitaki kuwavunjia heshima.ila sina mpango wa kuolewa bali nimepanga kupata mtoto nayo si leo wala kesho.

nahitaji mchango wenu wa mawazo.huyu maza nampa jibu gani ili aniache niendelee kuishi life style niliyoizoea?​
 
utajilipua na bia hadi lini my dia,waambie una mpango wa kuolewa mwakani na soon utampeleka kijana wakati huo unafanya mipango yako endelevu hadi washituke kama ni ujawepesi unaoutaka utakuwa tayari umenasa.Kila la kheri na pole yako kwa kuwa na mila kama hizo loh
 
ni ushauri mzuri kwani muda nao unaenda hausubiri, usinisahau pindi utakapoamua mwanaume wa kukugegeda ili uwe ze pata mtoto.
 
haha unazani shida ni mwanaume wa kuzaa naye?wala bado sijajipanga kisaikolojia kuwa mama

Habari za wakati huu wana MMU, ni wiki ya pili sasa toka mama yangu mzazi aje kunitembelea.Nimefurahi na kiasi flani nyumba imechangamka.ishu iliyonisukuma kuandika uzi huu usiku huu ni kuwa mama ananilazimisha niolewe ama nizae ilhali mie siko tayari kwa sasa.ananiambia wamenitafutia mchumba huko nyumbani kwani shule nilishahitimKu nina kazi na maisha yake mahali pake.kwahiyo jambo lililobaki ni kuolewa na kuanza familia.anasema wajomba wamemtuma na anatakiwa arudi na jibu.nimekosa raha kwakweli na nimekuwa nachelewa kurudi nyumbani from job,kwani nikitoka tu kazini napitia bar najilipua vya kutosha hadi mida mibovu nikirudi nakuta kalala.leo kanikamata kutwa nzima sijatoka na amenambia hataondoka hapa kwangu hadi nimpe jibu la uhakika.kwa mila za kwetu wajomba wana nguvu sana na nawaogopa sana wajomba zangu.wala sitaki kuwavunjia heshima.ila sina mpango wa kuolewa bali nimepanga kupata mtoto nayo si leo wala kesho.

nahitaji mchango wenu wa mawazo.huyu maza nampa jibu gani ili aniache niendelee kuishi life style niliyoizoea?​
mwambie una AIDS.
 
asante shosti wanajua msimamo wangu ndomana wananikomalia na wakiamua sitaweza kupinga
utajilipua na bia hadi lini my dia,waambie una mpango wa kuolewa mwakani na soon utampeleka kijana wakati huo unafanya mipango yako endelevu hadi washituke kama ni ujawepesi unaoutaka utakuwa tayari umenasa.Kila la kheri na pole yako kwa kuwa na mila kama hizo loh
 
kuwa makini dada,c unajua zama ze2,na huyu utakaeamua uzae nae akikisha ni mwema kwako na mtoto utakae mzaa acje mterekeza kwako.nakushauri uwe na mwenza mutakae lea mtoto.makuz ya mtoto ni muhim,uckubar kuwalidhisha wajomba na kuutesa uzazi wako.utaraumiwa wewe na watoto wako.
 
haha unazani shida ni mwanaume wa kuzaa naye?wala bado sijajipanga kisaikolojia kuwa mama
Ni PM basi baby eeh!, mimi mwenyewe sina mpango wa kuoa ila nataka ki chalii tu, fanya hivyo basi.
 
tatizo mie bado sijamaliza kula starehe za ujana na sijawa tayari kubeba jukumu la kulea mtoto kwa wakati huu
kuwa makini dada,c unajua zama ze2,na huyu utakaeamua uzae nae akikisha ni mwema kwako na mtoto utakae mzaa acje mterekeza kwako.nakushauri uwe na mwenza mutakae lea mtoto.makuz ya mtoto ni muhim,uckubar kuwalidhisha wajomba na kuutesa uzazi wako.utaraumiwa wewe na watoto wako.
 
tehe tehe mie sitaki kichalii kwa wakati huu sitakuwa na muda wa kumlea

Back
Top Bottom