Mama yako akiwa na Jamaa unajisikiaje?

madamu hilo jamaa halikusumbui haifai kufanya chochote zaidi ya kuwaacha wafurahie haki zao za msingi
 
ukweli utabaki pale pale kama mama yako anayembea na kijana pengine umri mnafanana au hata pengine unamzidi heshima itatoka wapi? kikubwa mama ajiheshimu na kijana naye atafute size yake sio kupalamia tu
 

Mbaya zaidi ukute hilo njemba kazi yake pia ni milupo na umewahi kulishuhudia, utapelekaje taarifa kwa mama kumnusuru wakati hajawahi kukutambulisha?
 
Personally nillikuwa kwenye hiyo situation baada ya father kufariki, mama (Amefariki as well) alikuwa anatoka na jamaa (mtu mzima mwenzie) lakini nilikuwa sipendi kweli kweli. Nilikuwa nahisi kama baba anaibiwa hivi, ingawa jamaa alikuwa anatu-treat fair, but I never liked him. Sikuwahi kumwita baba hata siku moja, mpaka baada ya kukua kiasi flani ndio nikaanza kumwita baba. Inakera lakini....
 

Huwezi kuingilia nafsi ya mama yako kwa adabu ya kiafrika, the least to say! Actually yule ni baba yako inabidi umheshimu.
 
Hii nayo kali...nimecheka! Hata nikiwa mie hapo lazima pachimbike aisee!
 
mama ni mama wala sitahangaika na huyo jamaa, ingawa sitamheshimu kama baba yangu! But raha ya mama nitaiheshimu na ikiwezekana nitailinda kwa nguvu zote maana asingekuwa yeye nisingekuwepo duniani
 
"Ukiona Mwanaume anatoka chumbani kwa Mama yako huyo ni Baba yako"- By Thomas Nyimbo
 
Nakumbuka miaka 90's kuna jamaa ndanda secondary alijiua baada ya kugundua classmate wake anatoka na mother!jamaa alikua na tendence ya kwenda naye home kubadili diet weekend mambo ya boarding mama kumbe akawa anajivinjari na rafik wa mtoto wake
 
Mhh! msiwanyanyapae wamama mbona wababa wanatembea na watoto wao? kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
 
Kuchapiwa mama mzazi inauma sana tuongee ukweli

mbona baba anachapa huumii?ni masuala ya mazoea na mila. ila mama ni mwanamke na ana hisia na kupenda pia ila asiokote vitu vya ajabu ajabu
 
Kwa jinsi nimpendavyo mama yangu huyo jamaa ntamtafutia watu wakumla 0713 hadi akashonwe hospitali ..nyambaf!

kwani mama kabakwa? si kapenda mwenyewe na inawezekana ndo kamtokea kijana. baba yako akiwa anatoka nje ya ndoa utamtafutia watu wamle tigo pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…