The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
una akili sawa sawa wewe???mbona unataka kupotosha mada na ukweli??? mama yake zitto amemtambua kada wa chadema. hata hivyo tuwe tunasoma na kuelewa kabla ya kuchangia.
Na movie inaendelea.....Napita tuhaya ni maelezo ya mama zito:siku kazaa kabla ya tukio kunamtu alinipigia simu na alijitambulisha kuwa yeye ni mwanachama wa chadema tawi la tabata relini na kuniomba msaada wa mifuko miwili ya saruji kwa ajiri ya kukalabati jengo la ofisi yao.nilikubali kuwasaidia bila kuwa na fikra kwamba ni watu wabaya hivyo walikuja nyumbani na nikawakalibisha ndani na kuwaeleza kuwa nitawapatia 20000 na wao waongeze 10000,niliposimama kuelekea chumbani kuwachukulia kiasi hicho cha fedha mmoja wao alitoa bastola na kunielekezea kichwani huku akieleza kuwa hawana shida na pesa bali wanatka laptop,flash na simu yangu kwa sababu zinamambo muhimu.
Vipi yule kijana ameshidwa kwa Sumu ameamua kutumia Silaha? au alikua anatishia tu.Wenye akili hapa hawapati shida. Kama kuna kada wa CHADEMA alionekana, uwezekano mkubwa huyo ni kada wa CCM ambaye kituo chake cha kazi ni ndani ya CHADEMA, ni Ludovick mwingine. CCM watahangaika sana lakini kila wanachofanya, wananchi wanajua. Kila mbinu wanayopanga, badala ya kuwasaidia ndiyo inazidi kuongeza chuki ya wananchi dhidi yao.
Hao ni vibaka wa kawaida tu. Haina uhusiano na kazi za kamanda zitto.
Siku hizi kila kitu chadema,kibaka kaiba chadema,jambazi lateka bajaji chadema..tausi wa ikulu waugua mafua ya ndege,chadema..nimeamini nyota ya chadema inang'aa.
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa chadema atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
sasa hivi majambazi yameanza kutambuliwa kwa itikadi ya kisiasa,eti jambazi la chedema/kada wa chadema,itafuata kutambuliwa kwa kanda,na baadae kuanza jambazi la kikristo au kiislamu
Leo kuna habari nzito katika vyombo vya habari kuhusu mama yake Zitto kuvamia nyumbani kwake na watu inaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Hili lina utata mkubwa sana ikizingatiwa kuwa Zitto amekiea akiandamwa sana na viongozi wenzake ndani ya CHADEMA
Ikumbukwe kuwa Deus Msaki ambaye ni mtu wa Karibu sana na Zitto alipangwa kutekwa na CHADEMA, huenda huu ni muendelezo wa mipango michafu inayofanya ndani ya chama chake ili kumhujumu
Ombi langu kwa vyombo vya usalama vifuatilie suala hili kwa umakini mkubwa sana, kwani huenda tukashuhudia movie nyingine hapa
Nawasilisha