Mama yake Dogo Janja afunguka: Irene Uwoya alitambulishwa kwangu mwaka jana, ni kweli ameolewa na mwanangu

Hapo ni sawa na kupiga game huku timu pinzani ikiwa inakutangulia goli moja.
 
Kweli alieimba mwanaume mashine anastahili pongezi maana mfano dogo angekua na kijibamia angemuoa reen?
 
Kwenye ndoa,huyo mama hatakua na sauti wala amri ya kumtaka uwoya ampikie msosi
Sisi wanawake tukimpenda mwanaume. Huwa tunawapenda na wazazi wake. Ireen Mara nyingi anaidhi maisha ya bongo movie.
Kwenye uhalisia wa maisha yake. Usikute hayupo Kama unavyomfikiria.
 
Kiki mavi tu hizi...inamaana Dogo nae kabadili jina na kujiita Yousuf enow Pierre kama alivyotuonyesha kwenye kadi badala ya abdulaaziz?na je mbona keisha alishasema muvi itakuja soon?je huyu anayeongea ni mama mzazi kweli wa Dogo au ni katika mkakata wa kukamilisha kiki mavi lao?
 
Mmh aisee wamama wa kidigital hawana vipingamizi.
Huku ngarenaro kwao gari haifiki yani manzese kwa mfuga mbwa kuzuri,hku nyumba 70% ni fito zimekandikwa tope halafu fupi usawa wa mabega,sehemu kubwa hakuna barabara ya kupita gari
 
Hivi yule mwenye kashfa ya "kunuka mbunye" ndiye huyu?

Uwoya na Wolper huwa wananichanganya sana kuwatofautisha.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom