Mama yake Dogo Janja afunguka: Irene Uwoya alitambulishwa kwangu mwaka jana, ni kweli ameolewa na mwanangu

Wolper ndio wanamsema ananuka mbunye!! Huyu super star na mkorofisana wanaume wanamuogopa nasikia.....anajiamini....sana na ana misimamo sana!! Wanavyodai.....alishaolewa na star mpira wa Rwanda.....ni star kweli maisha juu sana anapenda......tuwatakie heri....
Hivi yule mwenye kashfa ya "kunuka mbunye" ndiye huyu?

Uwoya na Wolper huwa wananichanganya sana kuwatofautisha.

-Kaveli-
 
Mkuu unapoelekea siko,pia siifahamu kwa undani dini ya dogo janja. No comment
Mimi naifahamu ndio maana nika comment nilicho comment, janjaro kamnusuru Uwoya kwa ndoa, vile vile kainusuru dini ya Allah, nafikiri umeona ninapoelekea.
 
Back
Top Bottom