Ange kwa kifaransa,ANGEL KWA KIINGILISH,hujambo lakini?kwa hiyo basi ni Angel na sio AgnesHivi ANGEL au AGNES ?
Ange kwa kifaransa,ANGEL KWA KIINGILISH,hujambo lakini?kwa hiyo basi ni Angel na sio Agnes
Ilikua mwaka gan hiyo? Hahahaha....Huyu mama alikua nesi ndolage hospital...
nitakuja unifundishe frenchAnge kwa kifaransa,ANGEL KWA KIINGILISH,hujambo lakini?kwa hiyo basi ni Angel na sio Agnes
Aiseee! Ndo maana kafyatua too supa modo!
Mama yetu ana sura ya kiswahili
Watutsi wana sura nzuri sema wanatabia ya kudharau makabila mengine,mfano mzuri ni hali ya mambo huko Rwanda na Burundi hawataki kuongozwa na wahutu ambao ndio kabila kubwa both Rwanda and Burundi.
Wanaamini wao ni wateule kama waisrael.