Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,299
Hivi ANGEL au AGNES ?
It's just Ange na sio Angel au Agnes
Hivi ANGEL au AGNES ?
We ulitaka naye awe kama mtusi?
Nauona mwisho m'baya sana wa Kageme.Ebu fikiria watutsi wapo chini ya 15% huku wahutu wakiwa zaidi ya 85% ukiweka na uhasama mkubwa wa kikabila uliotamalaki huko Rwanda unaambiwa Kagame mtutsi kashinda kwa zaidi ya 90% ha ha ha ha ha.Watu wanasema CCM ni wataalamu wa kuiba kura lakini hawamfikii Kagame yeye kaiba hadi wamarekani wakastuka.
Mkuu hiyo umetuchomekea
Dua la kuku
Yule binti kagame atakuwa anamla,
Jana niliona anapiganae picha kwenye mkutano wa maraisi.
Hv kwa nn asiende na mke wake?
Au ndio anajilia mavuno yeke!
Huyu mama alikua nesi ndolage hospital...