Mama Wema asema kuna wakati anapigana na watu kumtetea Wema

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,742
215,933
xwema.jpg.pagespeed.ic.0JI-Fqebqt.webp

Mama yake Wema Sepetu, Mariam Sepetu amefunguka na kueleza jinsi anavyoumizwa na stori
za uongo kuhusu mwanae ambazo zimekuwa zikiandikwa katika magazeti ya udaku. Akizungumza katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Alhamisi hii, Bi Mariam amesema amekuwa akigombana mara kadhaa na baadhi na viongozi wa magazeti ya udaku kuhusu stori za uongo.

“Naumia sana kama mzazi, Wema alishaambiwa kwamba ana maradhi ya ngono, kama mzazi najisikia vibaya sana,” alisema Mama Wema. “Mimi nikishasikia hivyo nawafuata watu wa magazeti, nagombana nao sana. Kuna wakati nampigia Wema namuuliza jana ulitoka, anasema hajatoka, ukiwa kama mzazi inauma sana, wao wanauza magazeti kutokana na stori za uongo za mwanangu,”

Aliongeza, “Nimeshapigana na watu kuhusu Wema, wanakuja nyumbani wanaanza kuongea maneno maneno ambayo hayaeleweki,”
 
xwema.jpg.pagespeed.ic.0JI-Fqebqt.webp

Mama yake Wema Sepetu, Mariam Sepetu amefunguka na kueleza jinsi anavyoumizwa na stori
za uongo kuhusu mwanae ambazo zimekuwa zikiandikwa katika magazeti ya udaku.

Akizungumza katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Alhamisi hii, Bi Mariam amesema amekuwa akigombana mara kadhaa na baadhi na viongozi wa magazeti ya udaku kuhusu stori za uongo.

“Naumia sana kama mzazi, Wema alishaambiwa kwamba ana maradhi ya ngono, kama mzazi najisikia vibaya sana,” alisema Mama Wema. “Mimi nikishasikia hivyo nawafuata watu wa magazeti, nagombana nao sana. Kuna wakati nampigia Wema namuuliza jana ulitoka, anasema hajatoka, ukiwa kama mzazi inauma sana, wao wanauza magazeti kutokana na stori za uongo za mwanangu,”

Aliongeza, “Nimeshapigana na watu kuhusu Wema, wanakuja nyumbani wanaanza kuongea maneno maneno ambayo hayaeleweki,”

Na hiyo ya maradhi ya ngono hakumuuliza mwanae?
 
Mtoto wake mwenyewe anatengeneza headlines kwa kufanya vituko.

Huyo mama angeacha kushindana na magazeti, angeshindana kwanza na mtoto wake
Kuna mahali mama huyo alichana mbovu kinomanoma huku anarekodiwa
 
Uligombana na majirani sababu sababu Mimi ulinitetea hata Kama kosa nafanya mimi Mama ya moto band
 
Back
Top Bottom