Mama Wassira Aiaga CCM Rasmi....

Kwahiyo Mama Wassira ndio kithibitisho kuwa CHADEMA haifi.

hiviiii akili zako bado zinakutuma kukushauri kwamba CDM itakufa??? kweli wewe mburula haswa!! yaani hutofautiani na FISI MZEE.. we subiria tu kitaanguaka hahaaa.. siku zenda na mwisho utapiga saluti.. mburullaaa
 
ni mmoja wa wanafamilia ya akina Wassira, miongoni mwa maccm walioitabiria CDM kifo.

Shangaa wanafamilia sasa wanaona nuru ndani ya CDM

Mkuu umenikumbusha sheh yahya aliwabiria watu vifo halafu akafa yeye!
 
Mama Wassira ndio mzimu gani huo? Na je yeye ni mchagga? Kama sio mchagga ataishia kutumiwa na kisha kutupwa km toilet paper.
 
Watakuja woote lakini ""wasira HAPANA"hatumtaki wacheni abaki mwenyewe na maccm yake maana ni mchawi sanaa huyo mwanga kha!!
 
CHADEMA hawaishi vitimbi kesho hata akija idd amin kujiunga chadema watamshangilia sana huyu dc wilaya ilimshinda hadi kufukuzwa kazi lakini wao kwao ndiyo bidhaa mpya.
 
Mama Wassira ndio mzimu gani huo? Na je yeye ni mchagga? Kama sio mchagga ataishia kutumiwa na kisha kutupwa km toilet paper.

Hoja zenu za ukanda, ukabila na udini hazina mashiko.
 
Watakuja woote lakini ""wasira HAPANA"hatumtaki wacheni abaki mwenyewe na maccm yake maana ni mchawi sanaa huyo mwanga kha!!

mkuu mama yake wasira atakuwa na miaka mingapi kwa sasa.
 
Mnauwezo wa kufukuza?eti kafukuzwa kazi!ccm kabisaaa,kufeni na mafisadi wenu,yupi mliwahi mfukuza?taja japo wawili sio unaongea onge tu,mbavu sana
 
Karibu mama, hapa chadema ndio tumaini pekee lililosalia kwa mtanzania
 
Ni habari njema kwa wakati muafaka. Wacha Lekatutigite team na MaCCM LB7 FC wajidanganye kuwa CHADEMA inakufa.

Maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.hongereni kwa kujitambua

Safi sana.

vyanda vyema karibuni tuimarishe chadema NI MPANGO WA MUNGU

Watakuja woote lakini ""wasira HAPANA"hatumtaki wacheni abaki mwenyewe na maccm yake maana ni mchawi sanaa huyo mwanga kha!!

chama chenye misingi imara

Mnauwezo wa kufukuza?eti kafukuzwa kazi!ccm kabisaaa,kufeni na mafisadi wenu,yupi mliwahi mfukuza?taja japo wawili sio unaongea onge tu,mbavu sana

Narudia tena:- hapa ndio mwisho wa Akili za barvichaa,huyo mwanamke isitoshe hata majirani zake hawamjui,lakinj Jitu linakurupika toka usingizini hata mswaki kushney,linakuja kuandika Upuuz hapa
 
huyu kimolo ni yule aliyekuwa analewa mpaka anaokotwa au ni kimolo yupi.

Huyo huyo Kilaza ambaye alikuwa analewa mpaka anajikojolea.
Ilifika wakati akafutwa kazi kwa kupewa barua kesho yake akaenda kwenye media kujitangaza kuwa amejiuzulu.
Nani alikiwa anamjua kilaza wa kichaga.
 
Narudia tena:- hapa ndio mwisho wa Akili za barvichaa,huyo mwanamke isitoshe hata majirani zake hawamjui,lakinj Jitu linakurupika toka usingizini hata mswaki kushney,linakuja kuandika Upuuz hapa

mtashaa tuu, mtu mmoja akitubu malaika kule mbinguni wanashangilia.

walah nyie magamba mnaojidai hamuujui ukweli mtaumiza sana roho zenu.

"Hiki Chama Cha Chadema kina MUNGU" ---- Rachel Wassira.
 
Huyo huyo Kilaza ambaye alikuwa analewa mpaka anajikojolea.
Ilifika wakati akafutwa kazi kwa kupewa barua kesho yake akaenda kwenye media kujitangaza kuwa amejiuzulu.
Nani alikiwa anamjua kilaza wa kichaga.

mtakuja kwa njia nyingi sana hapa,
naelewa ni kwa jinsi gani mnavyo pata kihoro mioyoni mwenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…