Mama wa uhamiaji acharuka

Nikwel kabisa unyanyasaji huo upo, kuna kipindi nilikuwa kwene mradi wa viatel tz,huko kigoma yani wadada wananyanyaswa sana hasa kwa kulazmishwa ngono na wote pale kasulu nilikuwa hatar sana
We ndio ulikuwa unawala warundi pale makere eeee
 
We

FF unahatarisha kucha na macho yako kwa kuwasema hawa wenye nyadhifa serikalini.
Tafadhali msaidie kamishna kwa kumpelekea majina ukionyesha wako wapi na wanafanya nini.

Huyo dada anajuwa zaidi yetu kuhusu mambo ya uhamiaji.
 
Hawawahitaji hao wengine yupo wanayemtafuta hiki kitu kinajulikana siku nyingi, Manji siyo Mkurugenzi kwanini akamatwe Manji na siyo Mkurugenzi????? Hapa kuna uwalakini
 
= hujui
Wewe ni Mtanzania? Mbona hujui kuandika lugha yako ya taifa kwa ufasaha?
Kiswahili si lugha mama kwako, ulifundishwa shuleni na asiyejuwa Kiswahili. Kumbuka hilo.
 
Huyo mwenyewe mteuliwa ni raia wa kigeni......... Tunamjua
 
Wito wangu akaze sana kwenye makampuni yanayomilikiwa na raia wenye asili ya nje hasa Wahindi. Hawa ndugu wanaleta wafanyakaz toka huko kwao wana elimu ya kawaida sana hata Ngeli hawajui kabisa halafu wanawalipa vizuri kuliko waTz wenye elimu ya juu. Hapa sasa ndio huanza kutudharau na kutuita punda, nyani, n.k. Kibaya zaidi unakuta kazi hajui kila kitu anakuuliza wewe sasa unajiuliza huyu analipwa mshahara kama expert mbona ni Zero kubwa kabisa.
 
Mkuu hapo kwenye mikoa umesahau Kigoma. Kwangu mm ndio namba moja kwa kuingiza wahamiaji haramu
 
Nukta na koma zina ahkam zake. Si kwa kuwa sentensi ni ndefu basi uweke nukta.

Asili ya Kiswahili kikiandikwa kwa herufi za Kiarabu ambazo hauhitaji nukta wala koma kwenye sentensi.
Bi mkuu muda mwingine uwe unakubali km ulikosea
 
Nationalism(Utaifa ) ni ugonjwa hatari unadumaza fikra makini. Afrika moja.
 
Songwe,RUKWA ,katavi,kigoma kagera wahamiaji wengi sana,hata hapa dar kuna wahamiaji wengi sana mfano kila nyumba moja ya wapangaji kuna mnyasa mmoja
Apa Dar es salaam Tanzania kuna Wanaijeria wengi na wakongo mani, biashara zao azieleweki zaidi ya kufanya biashara za Madawa ya Kulevya [emoji569]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…