Mama wa mtoto wangu hataki nimnunulie nguo mwanangu

Mchukue mwanao na ubahili na wivu wako kwanini hukumuoa wewe Sasa?
Mimi siyo bahili yeye ataje mtoto anaitaji vitu Mimi nitanunua. Sasa yeye ana taka niwe natuma pesa ili mtoto wangu hasi nijue na hasi nipende
 
Sasa Bima ya Afya nayo haitaki

Basi atakuwa anakutaka wewe mkuu...

Endelea na utaratibu unaoona kwako ni sahihi Mkuu,,,, Wanawake huwezi waelewa kwa kupitia komenti za Jeiefu..

Ikikupendeza chukua mwanao, lea mwenyewe (ila Malezi ya mtoto mdogo ni mziki sana,,Jiandae..),,otherwise utakuja kumkumbuka mama watoto
 
Mtoto ni mkubwa miaka 8
 
Mimi siyo bahili yeye ataje mtoto anaitaji vitu Mimi nitanunua. Sasa yeye ana taka niwe natuma pesa ili mtoto wangu hasi nijue na hasi nipende
Hariri Comment yako

Achana na huyo mwanamke mkuu,,,Lea mwanao hvohvo unavolea,,usiendekeze upuuzi,, Ila hakikisha hela ya Chakula unatuma,,, tuma hela sio Chakula..

Nasisitiza tena tuma hela na sio Chakula,,,,,sio unatuma nguo tu...
 
Mimi siwez kutuma hela ya chakula wakati yeye hatak ndugu zangu wajue mtoto wangu anapo ishi sita tuma hela mpaka nijue mwanangu anaishi kwenye familia ya watoto wangapi nisije nikatuma hela ya chakula akawa ana pikiwa vyakula vya hari ya chini ili mradi kila mtoto apate
 
Aaaah kumbe mkubwa hvo...

Mkuu kaza.
Mimi nime mwambia awe ana kuja nyumbani kwetu ili apajue kwao na akiwa ana kuja ana kuta vitu nilivyo mnunulia ili ajue vitu nime nunua Mimi Baba yake sasa yeye hataki ana taka niwe natuma pesa tu ni nzur lakin baadae mtoto ata jua kila kitu anunua mama yke kumbe natuma hela mim
 
Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia nauli umpe mdogo wako ampeleke mtoto kwa Bibi yake akachukue vitu vyake maana siyo mbali na anapo ishi nauli ni 800 na shangaa ana kataa ana taka nimtumie pesa akanunue yeye.

Kwan Mimi kumnunulia nguo mwanangu nikosa na Nili mtumia pesa aka mpigie picha mtoto ili nimkatie mtoto bima ya afya lakin yeye hataki ana sema bima ya afya haisaidii ukienda hospital hakuna dawa Wana kwambia ukanunue eti ni Bora niwe na mtumia hela ya kwenda hospital kuliko kumkatia bima mtoto Mim na mshanga huyu mwanamke.
Kachukue mtoto ukaenae
 
Nikweli yeye kashaolewa na mwanaume mwingine Mimi na nunua vitu kwaajir ya mtoto wangu lakini yeye hata ana taka niwe natuma pesa ili anunue yeye na Mimi sitaki nataka nimnunulie nguo mwangu nzur nzur maana yeye hajui kuchagua nguo nzur

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana pia hujui kuchagua nguo nzuri
 
Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia nauli umpe mdogo wako ampeleke mtoto kwa Bibi yake akachukue vitu vyake maana siyo mbali na anapo ishi nauli ni 800 na shangaa ana kataa ana taka nimtumie pesa akanunue yeye.

Kwan Mimi kumnunulia nguo mwanangu nikosa na Nili mtumia pesa aka mpigie picha mtoto ili nimkatie mtoto bima ya afya lakin yeye hataki ana sema bima ya afya haisaidii ukienda hospital hakuna dawa Wana kwambia ukanunue eti ni Bora niwe na mtumia hela ya kwenda hospital kuliko kumkatia bima mtoto Mim na mshanga huyu mwanamke.
Mchukue mtoto ukae naye
 
Tatizo mnazaa na masichana ya uswahilini
 
Back
Top Bottom