Mtoto wa mpenzi wangu kanifukuza kwao Usiku

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
6,104
9,210
Jana basi baada ya kupata Moja mbili Tatu tulikuwa tumewasiliana na Baby wangu huyu ni mshangazi kwangu akasema yeye hajisikii kutoka kama nataka nifumfuate kwake tukabanjuane

Huyu single Mama ana watoto wawili mmoja mkubwa yuko darasa la 7 Jana yeye hakuwepo akawa amebaki mdogo wa Miaka kama mitatu hivi. Hile nafika Tu mtoto nimemkuta bado ajalala akaanza kuuliza Mama huyu ni Nani?

Mama yake akamjibu uncle kumbuka hapo mama yake akutaka majirani zake wapangaji wenzie wajue mtoto bhana akaanza kulia toka kwetu Kwa sauti kubwa eheeeh! Lia Sana Sana mpaka mama yake ikabidi aseme toka Tu utakuja siku nyingine huyu mtoto ni malaika itakua kaonyeshwa kitu.

Kinyonge nikaanza kuondoka na nauli nimechoma hapa ananitumia message za samahani kibao sijibu Mimi.
 
Mtoto ana malezi mabovu sana huyo yani ningemkata kofi moja hadi mamaake afumbe macho,mzazi unaendekezaje mtoto mpaka anafikia hatua ya kuwafukuza wageni.
Eti anasema ajazoea kuwaona watu usiku unajua mwanzo alianza Mama huyu Nani? Nikajua utani nikapotezea mara kilio saiv mama yake ndo anaomba msamaha
 
Mshukuru dogo kakuepusha na dhambi.

Ila hii tabia ya kwenda kumbandua mwanamke nyumbani kwake inaathiri sana watoto anaoishi nao hapo kwake.

Na mbaya zaidi mnakuaga na kelele sana, watoto hukaa kimya kwa woga na kuonekana wanafatilia wakubwa.
Kama unajielewa acha kuharibu watoto.
 
Mkuu mtoto wa Miaka mitatu kasoro? Anajua nini?
 
Jana basi baada ya kupata Moja mbili Tatu tulikuwa tumewasiliana na Baby wangu huyu ni mshangazi kwangu akasema yeye hajisikii kutoka kama nataka nifumfuate kwake tukabanjuane

Huyu single Mama ana watoto wawili mmoja mkubwa yuko darasa la 7 Jana yeye hakuwepo akawa amebaki mdogo wa Miaka kama mitatu hivi. Hile nafika Tu mtoto nimemkuta bado ajalala akaanza kuuliza Mama huyu ni Nani?

Mama yake akamjibu uncle kumbuka hapo mama yake akutaka majirani zake wapangaji wenzie wajue mtoto bhana akaanza kulia toka kwetu Kwa sauti kubwa eheeeh! Lia Sana Sana mpaka mama yake ikabidi aseme toka Tu utakuja siku nyingine huyu mtoto ni malaika itakua kaonyeshwa kitu.

Kinyonge nikaanza kuondoka na nauli nimechoma hapa ananitumia message za samahani kibao sijibu Mimi.
Bro uende na zawadi nxuri kwa mtoto siku nyingine.
 
Mtoto ana malezi mabovu sana huyo yani ningemkata kofi moja hadi mamaake afumbe macho,mzazi unaendekezaje mtoto mpaka anafikia hatua ya kuwafukuza wageni.
Mario bhana, umpige kofi mtoto kisa kulazimisha kuzini sehemu hata hulipii kodi! Kama wewe kidume si ungekodi hotel mfanye yenu kwa uhuru,

Safi sana Mtoto ameikataa zinaa kwenye nyumba yao.
 
Back
Top Bottom