ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 947
- 547
Juzi Kati nilimpiga mpenzi wangu kwa hasira tu kwakuwa alinikera, Baada ya siku mbili kutoka tukio la kumpiga huyo mwanamke namimi nilibananishwa na kuchezea kichapo chenye afya. sasa Leo mama mkwe amekwenda mpaka nyumbani kwa wazazi kusema kuwa yani hanitaki hata kuniona na nikiendelea kuwa na mtoto wake anaweza kuniuwa na amewaambia wazazi kuwa wanikanye.
ila mtoto wake bado ananipenda na alinitumia meseji kuwa amepigwa na Mama yake ameambiwa kuwa asikutane namimi ila pia amesema kuwa anataka nikutane nae tuongee embu nishaurini nijitolee kama Romeo au niachane nae Mana nahisi kile kichapo nilichobigwa inawezekana ni mama wa huyo binti ndio aliwatuma wale vijana wanipige. Na huyo binti anaishi kwao mana bado anasoma chuo.
"Asiye sikia la mkuu huvunjika guu"sijui ni kweli ila sijawahi kuwadanganya ndio nimeanza leo Ndugu zangu.