Huyo mama anauwezo Wa kukabiliana na vipanya road vya DSM kama 6 hiviView attachment 397936
Duu hii stamina wengi sana hawanaHuyo mama anauwezo Wa kukabiliana na vipanya road vya DSM kama 6 hiviView attachment 397936
Tripple tasking maybeHii inaitwa multitasking skill.
Hapo baiskeli haina bleki wala haina kengele. Akitaka kupiga kengele atapiga pedeli kwa mguu na akitaka kufunga bleki atachomeka mguu kwenye taili.Hii inaitwa multitasking skill.
Watu wanaomudu multitasking ni adimu sana mkuu, na hoteli ya mtoto inaoparate, heshima kwake.Tripple tasking maybe
Balancing
Breaking
Driving
Concentrating
Holding
Yeah I can feel[emoji144] [emoji144] [emoji144]Ndio hali halisi mkuu,unaweza kunisoma hisia zangu vile nimeiandika kwa uchungu [emoji22].
Umeongea kwa hisia Kali sana ..Mama la mama [emoji123]sio hawa mashangingi ya mjini yaliyooza kwa mikorogo.
Ajabu huyu mama akisimama na shangingi hatopewa heshima wala attention kama shangingi [emoji24][emoji24]
Hawa ni mashujaa, ndo wamezaa watoto wabishi kama makondaHuyo mama anauwezo Wa kukabiliana na vipanya road vya DSM kama 6 hiviView attachment 397936
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimecheka sana.Hapo baiskeli haina bleki wala haina kengele. Akitaka kupiga kengele atapiga pedeli kwa mguu na akitaka kufunga bleki atachomeka mguu kwenye taili.
Kitu ambacho watu kama Bob Junior Wa dar na vijana wenzake wafungia suluali matakaon hawawezi kabisa