Lucas mwangomola
Member
- Jan 3, 2018
- 34
- 40
Maandiko hayajatungwa ili kupunguza uovu ila kilichoandikwA kipo na ndomana wanasema Mungu ni neno ukiielewa kwel hiyo kwel itakuweka huru inamaanisha kwamba ukiilewa katiba ya maisha yani(Biblia) utakua umeielewa kwel na hiyo kwel itakuweka huru kama hujui biblia inaishi na haijawahi kupitwa na wakat na ndomana wanasema utandawazi usikufanye ukahalalisha dhambi kuwa kitu cha kawaida. Jipe mda soma sana biblia hasa agano jipya trust me lazima utabadilika kirohoNimekosa kabisa neno zuri la kukuita ila naomba niseme ivi ...AKILI YAKO IMEKOMAA KATIKA KUFIKIRI.... maandiko mengi ni nadharia yakutengeneza hofu ili kupunguza maasi duniani
🤣🤣🤣🤣🤣Hilo jibu lako limenikubusha hii picha
👇👇👇👇
Ni nyingi mnoooo🤣Naomba nihesabu dhambi zangu kwanza🤣
Basi tuchukue vitabu vya waandishi wetu kama kina shaban robert na wengineo tuviunganishe tutengeneze kitabu chetu kama biblia ili tufate kitabu chetu na sio hicho kilichokuja na majahazi.Maandiko hayajatungwa ili kupunguza uovu ila kilichoandikwA kipo na ndomana wanasema Mungu ni neno ukiielewa kwel hiyo kwel itakuweka huru inamaanisha kwamba ukiilewa katiba ya maisha yani(Biblia) utakua umeielewa kwel na hiyo kwel itakuweka huru kama hujui biblia inaishi na haijawahi kupitwa na wakat na ndomana wanasema utandawazi usikufanye ukahalalisha dhambi kuwa kitu cha kawaida. Jipe mda soma sana biblia hasa agano jipya trust me lazima utabadilika kiroho
[emoji1][emoji1][emoji1] mkuu siyo kweliShida unaonekana kwake ni kama age yake... Yaani anakuona kama mzee mwenzie.
Ninazo , ila i have nothing to proove to you.Siwezi tongoza mwanaume ever.
Miaka 52 huyo ni dogo sana, sema tu wewe huna nguvu za kiume
Wewe ni mdogo wangu . nimekuzidi mwaka.33 to 34 soon.Niamkie bas
niko namuonekano wa kijana ila haka kakitambi lbda[emoji1][emoji1][emoji1]Jitathmin muonekano wako inawezekana na wewe una muonekano wa kibabu babu
Sawa na mtoto wa darasa la nne wa like amtongoze mwalimu wake wa kiume bila shaka hata mwl atakuwa anamuoneoano au tabia za kitoto ndio maana mtoto kachagua wa size yake
uchoyo wa nn madam?Acha uchoyo we mjamaa
Sasa nimesema nchi jirani , unaumia na wale walio mabele huko,? usa, china, canadaAcha ujinga.Una miaka kati ya 30 hadi 32 ndiyo umri gani huo.Nchi jirani jina kapuni.Kivipi?Muwe mnatunga sensible issues.
@mama D Asante kwa ushauri mzuri , Wapo wanaosema eti sijui hiki na kile lkn naamini ni watu waliona makasiriko mengi . Jf ni sehemu ya msaada , sasa nkaombe wap ushauri?Nyumba na gari vitamsaidia nini wakati atakua keshabeba laana, dhambi na mikosi ya kutosha kwa kulala na huyo mwanamke?
Riyan usimuangalie huyo mama kama yeye angalia msukumo wa hiyo roho ya kukutumikisha ulio ndani yake unaenda kutengeneza nini kwenye maisha yako
UFUNUO 2: 13; 19-22
Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.
Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.
Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
asante bossUtakua yna ugwadu sana mkuu na huna pakupumzkia kias kwamba huchagui mwanamke[emoji23][emoji23]
Umenikumbusha jamaa yangu mmoja enzi hizo alikua anapiga hovyo hovyo wanaojileta kizemb. Yaan haangalii sura wala umbo sjui nn yeye mradi awe mwanamke[emoji23] alikua anasema yeye ni jiko la shamba halichagui kuni,, tulikua tuna mtania sana ila hakuskia
Naomba nikushauri mkuu, basilica usiwe hivo na sisi wanaume tunapswa kujiheshimu sio kila mwanamke ni wa kusex nae. Mda mwingine jithaminishe huyu sio hadhi yangu sasa ww kila kitobo unataka kupita nacho
Anafanana kidogo na yule mama ...ema?Wakuu habari?
Mimi ni kijana wa miaka iliyokati ya 30 na 34,nina mke na watoto 2.
Nilikutana na huyu mama kwa Gari kuelekea nchi jirani(jina kapuni). Hivyo kutokana na urafiki tulioujenga ndani ya safari ile ya siku 2 ilinibidi nichukue namba lkn sikuwa na mawazo mabaya.
Lakini huyu mama amenitamkia ananipenda na anatamani kampani yangu sababu mume wake kamuacha na kuhamia kwa mke mwingine.
Pili hana mtu yeyote huku ng'ambo ya Tanzania hivyo anaona mimi nitamfaa zaidi. Mwanzoni nilisita ila nkawa namkwepa kwa kumpa majibu direct na kutokuweka mazungumzo ya mapenzi bali ya kirafiki.
Ila kachachamaa sanaa , ana moto sanaa na mimi naweza nkagonga wanawake umri wa mwisho 40 ila 52 pamezidi sana Sina mzuka naye na havutii kivileee.
(Sina shida na mbususu nina michepuko kama wa2 wa huku huku ng'ambo ,umri kuanzia 25-35)
Nimetafuta kila sababu ya kumtema ila yeye yumo,
Naomba ushauri wakuu nifanyeje?
View attachment 2303886
NAKAZIAMpige púmbú wewe... Nasema uongo ndugu zangu?
usipo mla wewe watamla wengine sasa sibora umalize kona tu umle wewe [emoji846][emoji846]Wakuu habari?
Mimi ni kijana wa miaka iliyokati ya 30 na 34,nina mke na watoto 2.
Nilikutana na huyu mama kwa Gari kuelekea nchi jirani(jina kapuni). Hivyo kutokana na urafiki tulioujenga ndani ya safari ile ya siku 2 ilinibidi nichukue namba lkn sikuwa na mawazo mabaya.
Lakini huyu mama amenitamkia ananipenda na anatamani kampani yangu sababu mume wake kamuacha na kuhamia kwa mke mwingine.
Pili hana mtu yeyote huku ng'ambo ya Tanzania hivyo anaona mimi nitamfaa zaidi. Mwanzoni nilisita ila nkawa namkwepa kwa kumpa majibu direct na kutokuweka mazungumzo ya mapenzi bali ya kirafiki.
Ila kachachamaa sanaa , ana moto sanaa na mimi naweza nkagonga wanawake umri wa mwisho 40 ila 52 pamezidi sana Sina mzuka naye na havutii kivileee.
(Sina shida na mbususu nina michepuko kama wa2 wa huku huku ng'ambo ,umri kuanzia 25-35)
Nimetafuta kila sababu ya kumtema ila yeye yumo,
Naomba ushauri wakuu nifanyeje?
View attachment 2303886
🤣nife Mimi🙌Wewe ni mdogo wangu . nimekuzidi mwaka.
Amkia!