Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,444
Ooh basi sawa, kama upo Dar nita kulink kwa mtu flani kikubwa uwe na ushahidi wote wa chuo mpaka death certificate ya mzee, ikiwa bahati yako utasaidika, ni kumuomba Mungu tu.Alikua anathamini watoto wake kuwarithisha elimu kuliko mambo mengine. Ndugu wengine walikua hawajikita sana huko ndio kisa chakutengwa
Ndio nipo DarOoh basi sawa, kama upo Dar nita kulink kwa mtu flani kikubwa uwe na ushahidi wote wa chuo mpaka death certificate ya mzee, ikiwa bahati yako utasaidika, ni kumuomba Mungu tu.
Ndo mana unaambiwa fuatilia mahakamani.kwani wewe sio mtoto halali wa marehemu?kama aliwekeza kwenye elimu sasa aliwekeza nini?kwa njia gani?ili hali sasa unapata shida.Nashukuru sana mkuu ila ukiangalia hapo juu niliandika baada ya Familia yetu nikimaanisha baba aliwekeza sana katika elimu ambapo familia ya baba mdogo ikatokea kututenga nikama hawakupendezwa. Nilipo masomo yamenipita nahizo mali zipo chini ya mama wa kambo
Tubarikiwe sote kipenzi.Ubarikiwe sana mama.
Hili kisheria linawezekana kabisaMimi nitakushauri kisheria nenda kaongee na ndugu wa baba yako muitishe kikao cha familia ukatengue uteuzi wa usimamizi wa mirathi ma mali zigawanywe upya kama bado zipo..ingawa utachelewa chuo kama vipi ahirisha masomo fanya mchakato huo mkuu
Habari za humu wa JF,
Mimi ni kijana umri 24 naishi Dar es salaam. Nilikua na baba ambaye alikua yupo katika mahusiano na mama mwingine (wakambo), kwa muda alianza sumbuliwa na cancer mpaka badae ini likawa infected na mwaka jana kwa bahati mbaya baba akanitoka nikiwa bado nasoma chuo, nakumbuka nilipigiwa simu nakupewa taarifa yakua kanitoka.
Nilipigwa na buutwa nakuchukua masalia yangu ya pesa nakukata ticket ili niwahi kumuona baba hata kwa mara ya mwisho. Nilifanikiwa kufika salama na mambo yote yakaenda salama japo moyoni nikiwaza baba kaniacha nani atakua msaada na chuo sijamaliza nikiangalia kodi pia nadaiwa mawazo mengi sana kichwani!!!
Familia yangu ilikua tofauti na za ndugu zangu kidogo kwakua Late baba aliwekeza sana katika elimu na ukiangalia ba mdogo na ndugu wakaribu walikua hawana support yoyote ile.
Baada ya mambo yote kuisha kuna baadhi ya mali ziliingia katika mkono wa mama wa kambo na alivokutana namimi akaona kama nafatilia akawa mkali na kuacha kabisa kunisaidia hata pesa za matumizi ambayo alikua awali ananisaidia, nimerudi nikitegemea ataweza nisaidia au ndugu jamaa na marafiki ila mambo yamegeuka na amesema hawezi japo uwezo anao wakufanya ivo.
Nipo katika kipindi ambacho sijui nini lakufanya vyuo vimefunguliwa ada sina pakukaa sina kodi iliisha yaani naona mambo yameniharibikia kabisa na ndugu ndio walishanitenga sijui nifanye nini kwakweli nilichokua naweza nikua smart katika masomo yangu nanilipanga mambo mengi sana.
Naandika haya sipo sawa nimekaa namachozi yananilenga mtoto wa kiume sijui nifanye nini naona hakuna msaada I wish ningepata mtu wa karibu ambaye ange act kama baba, ndugu zangu hii hali inaumiza sana i wish ningepata msaada wowote.
mama wa kambo akifika stage hii hapo huyo ni mnyama wazazi wetu tunawakosea sana mbona hawafanyi hiviDa inasikitisha ,ila usikalili kuwa kila mama wa kambo ni mbaya,inawezekana ulimkwaza mahali muombe radhi muendelee na maisha, mama wakambo wenye ubinadam wapo
Mkuu mimi huyu mama wa kambo sikuwa na habari naye mpaka mzee aliponiacha kwasababu mambo mengi alikua akifanya mzeeMimi na mama wa kambo hatuna bifu kwakuwa sijawahi onesha dalili za kutaka mali yoyote. Mzee bado yupo sana na kwake hata sipajui, mali zake sizijui sasa nitadai nini.
Nishaacha kumuomba mzee lolote na hata hatuwasiliani tena, ada mwenyewe sijamalizia lakini naamini itaisha bila tatizo.
Mzee nimesave namba yake ili akinitafuta nisiulize 'we nani?'
Muhimu kwangu, nina strong bond na ukoo. Sasa ole wake mzee mimi niwe Naseeb, yeye ndo atakuwa mzee Abdul.
kwanini mkuustory yako inanipa mashaka