Path Creator
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 223
- 133
Sijawahi mkwanza ikitokea nikaona nimekosea hua naomba msamaha ila kwake alinichukia kisa kuanza kumfatiliaDa inasikitisha ,ila usikalili kuwa kila mama wa kambo ni mbaya,inawezekana ulimkwaza mahali muombe radhi muendelee na maisha, mama wakambo wenye ubinadam wapo
haya mambo nilikua nikiyasikia tu mkuu ila ukiyaona kwa macho ndo utaelewaPole sana ndg! nimejaribu kuwaza kuhusu mirathi, ina maana wewe kama mtoto wa marehemu hukupata mgawo wa mirathi? umeshindwa nini kupigania haki yako ya mirathi? Pigania hilo la mirathi, ndo risasi pekee iliyobaki kukusaidia, vinginevyo utaangamia. Pole kwa mara nyingine
Asante mkuu, nimefatilia nanikipindi ambacho outbreak imetokea nikaenda kama suprise kumbe yeye alichukizwa nakile kitendo nikimpigia simu kuomba hata matumizi naambiwa nitajua mwenyewePole sana, mali za baba yako umefuatilia kama alikuwa mfanya kazi, kazini kwake au katika biashara yake au pesa zake katika bank yake?
Unaweza ukafungua shauri la kusimamia mirathi ya mali za baba yako (kama alikuwa nazo) ili upate haki yako ikiwa ni pamoja na kulipiwa gharama za shule.
Nashukuru sana mkuu ila ukiangalia hapo juu niliandika baada ya Familia yetu nikimaanisha baba aliwekeza sana katika elimu ambapo familia ya baba mdogo ikatokea kututenga nikama hawakupendezwa. Nilipo masomo yamenipita nahizo mali zipo chini ya mama wa kamboMimi nitakushauri kisheria nenda kaongee na ndugu wa baba yako muitishe kikao cha familia ukatengue uteuzi wa usimamizi wa mirathi ma mali zigawanywe upya kama bado zipo..ingawa utachelewa chuo kama vipi ahirisha masomo fanya mchakato huo mkuu
Labda niulize je ile karatasi ya uteuzi wa mirathi ipo? Mlifungua shauri la mirathi maana kama mali zipo chini ya mama unaweza kutengua mgawanyo wa mali kila mtu akapewa chake au niulize mlienda mahakamani kufanya maswala ya mirathi?Nashukuru sana mkuu ila ukiangalia hapo juu niliandika baada ya Familia yetu nikimaanisha baba aliwekeza sana katika elimu ambapo familia ya baba mdogo ikatokea kututenga nikama hawakupendezwa. Nilipo masomo yamenipita nahizo mali zipo chini ya mama wa kambo
Labda niulize je ile karatasi ya uteuzi wa mirathi ipo? Mlifungua shauri la mirathi maana kama mali zipo chini ya mama unaweza kutengua mgawanyo wa mali kila mtu akapewa chake au niulize mlienda mahakamani kufanya maswala ya mirathi?
Mkuu hapo naona sina la kukushauri...itabidi upambane au ukamlambe miguu mama wa kambo akupe hela...Mkuu muda ule nilikua namfikiria sana late baba nasikua nawaza mirathi na kijadi yetu hufata mila na desturi ila nadhan kuna mpango ulifanyika ambayo siyo yaki sawa
Jadi yenu inafata mila na desturi ndio inakuaje hapo?Mkuu muda ule nilikua namfikiria sana late baba nasikua nawaza mirathi na kijadi yetu hufata mila na desturi ila nadhan kuna mpango ulifanyika ambayo siyo yaki sawa
Mzee aliwekeza sana katika elimu kivipi? Na katika uwekezaji huo ikawaje ndugu wakutenge?Nashukuru sana mkuu ila ukiangalia hapo juu niliandika baada ya Familia yetu nikimaanisha baba aliwekeza sana katika elimu ambapo familia ya baba mdogo ikatokea kututenga nikama hawakupendezwa. Nilipo masomo yamenipita nahizo mali zipo chini ya mama wa kambo
Nashukuru kwa ulipoishia mkuu ila ananichukia bila sababu mpaka kwenye simu najibiwa vibayaMkuu hapo naona sina la kukushauri...itabidi upambane au ukamlambe miguu mama wa kambo akupe hela...
Alikua anathamini watoto wake kuwarithisha elimu kuliko mambo mengine. Ndugu wengine walikua hawajikita sana huko ndio kisa chakutengwaMzee aliwekeza sana katika elimu kivipi? Na katika uwekezaji huo ikawaje ndugu wakutenge?
Nashukuru nishapoaPole Sana.