BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
Kweli daughter kwa hiyo point namba moja, kwa nini anakwepa sex ya mara kwa maraNiko concerned na hiyo point ya kwanza...hawapendi sana sex
what about you?na we pia hupendi sana au? na je inamaana (kwako personally) mwanamke anayependa sex sana anakuboa?kivipi?
Looooo huruki ukiniona muone kwanza,mbona vimama vingi tu vina wivu unasemaje havina wivuhapo ina maana unaweza kuwa na jimama na huku unae mwingine
bila tabu,...unatoa dozi bila kuzidiwa lol
halafu hawana wivu pia,wako tayari kuwa wawili kwenye uhusiano...so hiyo pia..
Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?
Looooo huruki ukiniona muone kwanza,mbona vimama vingi tu vina wivu unasemaje havina wivu
labda chako tu hicho
Poa nimekwelewa TB inaonekana unautiwa nana na watu wazima, sasa sijui ukifika 50-60niliwahi kumuacha mtu kwa ajili ya shangazi yake...na mpaka leo hajaamini...
we usijipe matumaini....mama yako atanivutia zaidi kuliko wewe..
wako tayari kutumia laini ya pililoooo kazi kweli kweli, wamama wanakuwa na nini ambacho msichana hawez kukupa
ameachika ana watoto wakubwa wawili mimi ni 39 [/QUOTE)
Mmeshachunguza afya zenu????
heh, kijana! sasa we unataka ushauri gani hapa? endelea kupiga mzigo bana, usisahau vilevile kutumia ile laini ya pili, ili kudumisha penzi!Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?
Akili za vijana wa karne hii mnazijua wenyewe!!Nadhani katika hili ungewaomba wazazi wako wakushauri.Eishh
wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema kuendelea naye?
Nilidhani ni kijana mdogo kumbe mtu mzima, endelea nae na ikiwezekana muoe kabisa!
Mpwa avatar yako inaonyesha kijana wa busaaaaara kweli ila comment yako mwenyewe nimechoka. Mungu akutie nguvu.wako tayari kutumia laini ya pili
ameachika ana watoto wakubwa wawili
mimi ni 39
i envy you....some women are like wine.the older,the better......vintage lol
Endelea naye,jitahidi umzalishe hata vitoto viwili