Mama VS Mpenzi

Mama VS Mpenzi

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
IMG-20180602-WA0052.jpg
 
Hahaaaa. Kweli kabisa na hapo inatumwa fasta ya kutolea.

Ila ndio hivyo siku zote Mzazi ana vitu vya kipekee kimoja wapo ni kuridhika hata kwa kidogo apewacho.
Na wengi wetu ndio hapo tunapopotea(ga).
Unamtumia mtu kiasi kikubwa cha pesa badala ashukuru ndio kwaanza analalamika ndogo, shubaaaaamit
 
Aaaaaaaaah. Lazma itumwe tena faaaaasta mwaya. Chezea penzi jmn. Penzi lina nguvu ya ajabu my dear. Acha tu mamiiii.

Ni kweli unachosema mamitto. Mama ana upendo wa hali zote kwa mwanawe iwe ana kitu au hana kitu mom atakupenda katika hali yoyote ile tofauti na mpenzi mwaya.
 
Mzazi haombi hata siku moja
Ila pepo (kama una imani)
Ipo chini ya miguu yake.
Itafute sana lakini kwa uzinzi baraka zote zinapukutika hata kama unazo ngapi

Ni kweli kabisa unachosema mkuu.

Wazazi ni watu muhimu sana katika maisha yetu ya sasa na ya baadae pia. Ila wengine hawawajali wala kuwathamini aisee.

Mtu hata afanye vipi ibada au hata awe na pesa kiasi gani lakini kama wazazi wake hawako radhi nae na hawana mawasiliano mazuri basi hizo ibada zake na pesa zake hazina thamani yoyote aisee.
 
Na wengi wetu ndio hapo tunapopotea(ga).
Unamtumia mtu kiasi kikubwa cha pesa badala ashukuru ndio kwaanza analalamika ndogo, shubaaaaamit
Hahaa. Na mwisho wa siku kwa yale Mapenzi yaliyopo kwake unahisi pasi kumpa ya kutolea huenda akakasirika. Duuh.
 
Aaaaaaaaah. Lazma itumwe tena faaaaasta mwaya. Chezea penzi jmn. Penzi lina nguvu ya ajabu my dear. Acha tu mamiiii.

Ni kweli unachosema mamitto. Mama ana upendo wa hali zote kwa mwanawe iwe ana kitu au hana kitu mom atakupenda katika hali yoyote ile tofauti na mpenzi mwaya.
Yaani. Acha tu rafiki. Penzi ni kitu kingine bana.

Kabisaaa. Nawaombea wazidi tu kujaaliwa mioyo hiyo hiyo Wazazi wote popote walipo.
 
Chaa ajabu watu wanatumia gharama nyingi kwa wapenzi/mahawara/milupo kuliko kwa wazazi,mzazi zawadi kwa mwaka mara moja,ila demu deile shoping na miamala.
 
Amin. Amin. Thumma Amin.
 
Chaa ajabu watu wanatumia gharama nyingi kwa wapenzi/mahawara/milupo kuliko kwa wazazi,mzazi zawadi kwa mwaka mara moja,ila demu deile shoping na miamala.

I wish ingekuwa vice versa mkuu. Baraka nyingi sana zingepatikana kutoka kwa wazazi wetu aisee.
 
Hahaa. Na mwisho wa siku kwa yale Mapenzi yaliyopo kwake unahisi pasi kumpa ya kutolea huenda akakasirika. Duuh.
Mbali na kukasirika unawaza nisipomtumia kibuti kinaweza kunihusu mara mzee fasta unatuma elfu kumi ya kutolea badala ya buku mbili loh.
 
Back
Top Bottom