LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Wa TZ bana, wengi waliondokea kuhadaika nae sana na maushauri yake, hakuwa mtaalamu wala nn, mambo ya uzoefu tu, na that time ilikuwa mtu kuonekana runingani hata ukiongea upupu unaonekana unajua sana!
Mkubwa wangu!! Si ndiyo hii imenichafua roho kbs! Na ujuwe wakati ule akidanganya UMMA Mi nilikuwa bado nilikuwa cjaangukia matandaoni sasa ndiyo wakati wenyewe wa kumjaji na ningependa hata nikasimame naye kwa NGOSO! Haiwezekani awahadae Watanzania kivile halafu ananyamaziwa,Kweli NAFSI yangu inaguswa sana kusema naye nipate matamshi yake! Mwenye contact yake asisite kunirushia wajamen!