mama terry yupo dar. Anakamilisha taratibu za mwisho za kuanzisha kipindi chake chini ya kampuni yake inayoitwa Brightlight Reality Show Company. Kipindi kitaitwa Ndoto yako reality show na kitaanza kurushwa kwenye television ya TBC1 hivi karibuni.
Ya mama huyu yanastahili kukumbukwa wakati huu tunaposhuhudia aina ya wanasiasa huko Bungeni ni watu wa aina gani, tunapokuwa kwenye mambo muhimu ya kitaifa.
Huyu mama tulikuwa tunakutana katika meditation group muda kidogo alikuwa anakuja na mabinti zake nafikiri ndo aliozaa na Mnigeria lakini toka niingie mitini sijajua yupo wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.