Mama Terry yuko wapi?

we katavi umekuwa kipindi gani mama tery maarufu sana haswa ka vijana wa 2000's hadi kwenye nyimbo wamemuimba.(john walker) alikuwa anaelimisha jamii kuhusu masuala ya afya ya jamii hususan ukimi na magonjwa yanayoambukiza japo hadi leo sjafahamu ana elimu kiasi gani katika masuala ya afya ya jamii ila alikuwa kipindii hicho radio one docta kila jumatatu pale radio one sterio jamii ila al

Katavi enzi hizo labda alikuwa katika umri wa akigusa radio anakatazwa anaambiwa "acha utahharibu", unajua enzi zile ilikuwa ni rahisi kumfahamu mama Terry kwa kuwa radio station zilikuwa na vipindi vingi vya kusikiliza tofauti na sasa watu hawasikilizi sana radio (wapo specific na vipindi vichache kutokana na radio nyingi kufanya kazi ya kupiga muziki tu kipindi kirefu kwa kuwa kigezo cha ajira ya utangazaji wa radio nadhani lazima uwe DJ)
 
karibu uwavune watanzania maana ndodi nae kaingia mitini au ndo mnapokezana?

Ndodi toka alivyopata kitambi hataki kuuza sura kwenye TV manake alikuwa anawaponda sana wenye vitambi.
Sasa hivi huwa anasikika kwenye radio Ebony ya Iringa, sasa sijui ndo kahamia moja kwa moja au!
 
Ndodi toka alivyopata kitambi hataki kuuza sura kwenye TV manake alikuwa anawaponda sana wenye vitambi. Sasa hivi huwa anasikika kwenye radio Ebony ya Iringa, sasa sijui ndo kahamia moja kwa moja au!
....................na kuanzia wiki ijayo atakuwa Njombe kwa wiki moja akitoka hapo anaelekea Mbeya kwa wiki moja pia. Kumbe ana kitambi, ndo maana sasa hivi hata kwenye radio hasikiki kuwaponda wenye vitambi na isitoshe anauza dawa ya kuondoa kitambi wakati yeye mwenyewe hainywi lol!!
 
we katavi umekuwa kipindi gani mama tery maarufu sana haswa ka vijana wa 2000's hadi kwenye nyimbo wamemuimba.(john walker) alikuwa anaelimisha jamii kuhusu masuala ya afya ya jamii hususan ukimi na magonjwa yanayoambukiza japo hadi leo sjafahamu ana elimu kiasi gani katika masuala ya afya ya jamii ila alikuwa kipindii hicho radio one docta kila jumatatu pale radio one sterio jamii ila al
Kama alikuwa Redio One huku kwetu haishiki hadi leo, na kama ni mwaka 2000's nilikuwa mtu mzima busy kutengeneza watoto na my wife. Hiyo kuimbwa na akina Johny Walker si ishu kama angeimbwa na Mubaraka Mwinshehe au Remmy Ongala ningemfahamu.
Katavi enzi hizo labda alikuwa katika umri wa akigusa radio anakatazwa anaambiwa "acha utahharibu", unajua enzi zile ilikuwa ni rahisi kumfahamu mama Terry kwa kuwa radio station zilikuwa na vipindi vingi vya kusikiliza tofauti na sasa watu hawasikilizi sana radio (wapo specific na vipindi vichache kutokana na radio nyingi kufanya kazi ya kupiga muziki tu kipindi kirefu kwa kuwa kigezo cha ajira ya utangazaji wa radio nadhani lazima uwe DJ)
Enzi hizo mimi ndio nilikuwa namkataza mwanangu wa kwanza kushika redio, na tena ilikuwa ni R.T.D iliyokuwa inashika huku kwetu. Angalau siku hizi tunapata na R.F.A.
 
Kama alikuwa Redio One huku kwetu haishiki hadi leo, na kama ni mwaka 2000's nilikuwa mtu mzima busy kutengeneza watoto na my wife. Hiyo kuimbwa na akina Johny Walker si ishu kama angeimbwa na Mubaraka Mwinshehe au Remmy Ongala ningemfahamu.

Enzi hizo mimi ndio nilikuwa namkataza mwanangu wa kwanza kushika redio, na tena ilikuwa ni R.T.D iliyokuwa inashika huku kwetu. Angalau siku hizi tunapata na R.F.A.

Kweli aisee ila wapi huko ambako mawimbi ya radio ya mgao, hata hivyo miaka ya nyuma radio zilikuwa zinakamata sehemu chache ambazo zilikuwa zimeainishwa (radio binafsi zilipewa mikoa mitano
 
Huyu mama pamoja na Mh. Makamba waliwahi kuingilia biashara ya machangudoa kule Ohio na kinondoni, mama akaambiwa na machangudoa akamlete mumewe naye alikuwa mteja wao mama akaona hapatoshi akaingia mitini.
 
Natumaini mnamkumbuka mama Terri aliyekuwa anaalikwa sana asubuhi radio one enzi za akina Misanya Bingi. Hivi mbona alipotea ghafla? Yuko wapi? mjuao mtujuze basi.
 
Tangu mtoto wakwe apewe hhifadhi kwenye gesti ya serikali ya bure ( JELA ) Mama nae kaingia mitini. mara ya mwisho alionekana akilia mahakamani baada ya mwanawe kuingizwa kwenye taxi ya serikali wakati uli ikiitwa karandinga tayari kwa safari ya gesti bubu ya serkali kule mbele ya majumba sita
 
dah hata mimi huyu m2 namkumbuka mpak fa akamtaja ndani ya alikufa kwa ngoma kaapuni ila toto lake lilikuwa katili lilimsakizia mbwa kasichana kadogo
 
Tangu mtoto wakwe apewe hhifadhi kwenye gesti ya serikali ya bure ( JELA ) Mama nae kaingia mitini. mara ya mwisho alionekana akilia mahakamani baada ya mwanawe kuingizwa kwenye taxi ya serikali wakati uli ikiitwa karandinga tayari kwa safari ya gesti bubu ya serkali kule mbele ya majumba sita

mkuu ni yule a lie kua anasomaga st marrys
 
WanaJF, mnamkumbuka Mama Terry aliyekuwa mwanaharakati wa kupiga vita UKIMWI? Alikuwa anasikika sana Radio One akiwa na Misanya Bingi. Na alikuwa anawatetea sana wamama. Ghafla akawa hasikiki tena. Yuko wapi siku hizi??

Alisema hakuna (au haamini kuwa kuna) Mungu, kuanzia siku hiyo hiyo nikamdharau!
 
Tangu mtoto wakwe apewe hhifadhi kwenye gesti ya serikali ya bure ( JELA ) Mama nae kaingia mitini. mara ya mwisho alionekana akilia mahakamani baada ya mwanawe kuingizwa kwenye taxi ya serikali wakati uli ikiitwa karandinga tayari kwa safari ya gesti bubu ya serkali kule mbele ya majumba sita

naskia source ya mtoto wake kwenda jela ni kuna dogo alipiga mpira ukaingia kwao dah basi yule mtoto alipoufata mpira kwa nyumbani kwa mama terry wacha mtoto wake ampe kichapo huyo dogo....maana mtoto wa mama terry alikua anajifanya john cena
 
WanaJF, mnamkumbuka Mama Terry aliyekuwa mwanaharakati wa kupiga vita UKIMWI? Alikuwa anasikika sana Radio One akiwa na Misanya Bingi. Na alikuwa anawatetea sana wamama. Ghafla akawa hasikiki tena. Yuko wapi siku hizi??
kaishiwa hana jipya kama isack ndodi
 
Tangu mtoto wakwe apewe hhifadhi kwenye gesti ya serikali ya bure ( JELA ) Mama nae kaingia mitini. mara ya mwisho alionekana akilia mahakamani baada ya mwanawe kuingizwa kwenye taxi ya serikali wakati uli ikiitwa karandinga tayari kwa safari ya gesti bubu ya serkali kule mbele ya majumba sita

Mkuu, kwakifupi ni jambo gani lililofanya mwanae akafungwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom