PreGE2025 Mama Samia Support tupo tayari kumpigania rais Samia kushinda katika uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Taasisi ya Mama Samia Support, inazidi Kusongesha Gurudumu la Rais Samia Kwa Kauli Mbiu ya ’Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele’

Taasisi Hii Leo May 29, 2025 wamefanya Maandamano ya amani yenye Lengo la Kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Baadhi ya wadau kutoka taasisi hio wameelezea Maoni hayo juu ya Uongozi wa Rais Samia na Yale yote aliyoyafanya tokea aingie Madarakani na Kuongezea Kua Wapo Nae Bega Kwa Bega kumsaidia Yale Yote Anayopanga Kufanya Katika ilani ya Chama Chao.

Mwanamke wa kwanza kupigiwa kura ya kuwania Uraisi Tanzania

Historia inaenda andikwa

Kazi iendelee
 
Taasisi ya Mama Samia Support, inazidi Kusongesha Gurudumu la Rais Samia Kwa Kauli Mbiu ya ’Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele’

Taasisi Hii Leo May 29, 2025 wamefanya Maandamano ya amani yenye Lengo la Kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Baadhi ya wadau kutoka taasisi hio wameelezea Maoni hayo juu ya Uongozi wa Rais Samia na Yale yote aliyoyafanya tokea aingie Madarakani na Kuongezea Kua Wapo Nae Bega Kwa Bega kumsaidia Yale Yote Anayopanga Kufanya Katika ilani ya Chama Chao.

Anashindana na nani??
 
Kwamba samia atashindana na mzee wa ubwabwa? Au mrema? Mnachekesha kweli.

Mshindani wake halisi kamuweka lock up! Amtoe kama ana ubavu.
 
IMG-20250527-WA0002.jpg
 
Anashindana na nani?

😅😅😅😅😅
Tunawasubiri na nyie muchague...
Kwani nyie chadrama ni chama kimoja tu upinzani nchini!!!

kura zitapigwa kama kawaaaa

Kazi iendeleeee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Kwa mara nyingine tena mama unapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili kuharalisha upigaji, samia support wanataka nini, kwani kuna mtu hajui kama mama ndio rais anae kuja baada ya october, jina la samia limeanza kutumika kama fursa.
Samia suppor
Samia affardable house
Gurudumu la samia,
Hanang samia bus terminal,
Bungeni samia
Kamati ya maridhiano samia,
Hili jina mpaka oct litakua limechoka sana
Kazi tunayo
 
Na yeye ni sehemu ya tatizo kubwa haswa
 
Uchaguzi ungekuwa huru na wa haki...asingeshinda!
Haungwi mkono na watz wengi hasa wa chini...makelele ni ya wafaidika wachache wa ngazi za juu pamoja na machawa tuu!
Matapeli na wezi wa mali za umma ndiyo wanamkubali maza
 
Back
Top Bottom