Mama Samia Suluhu anaapishwa lini?

Mama Samia Suluhu anaapishwa lini?

Hahahaaa! Eti kwa mujibu wa Kigogo.

Yaani Kigogo sasa hivi ndo kawa chanzo cha kuaminika cha habari!
Kigogo na Chahali. Kusema kweli wamefanya kazi nzuri sana. Hasa Chahali alikuwa anatoa habari za uhakika. Nadhani alikuwa na watu inside the system ambao walikuwa wanampa habari kwa sababu maalum. Zamani nilikuwa namwona kama mropokaji lakini nitakuwa namwamini kwa vingi sasa hivi.
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Sasa ulicho comment hapa Kina husiana nini na hii thread?
 
Ni baada ya muda gani ndo makamu wa Rais anaapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyepo madarakani kufa au kujiuzuru?
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haitoi muda mahsusi wa kumuapisha makamu wa Rais kuwa Rais mkuu ingawa tunatarajia watafanya hilo jambo kwa muda muafaka.
Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu urais tayari?
Bado ni mkamu wa Rais kwa sababu hajaapishwa mkuu kwa mujibu wa ibara ya 37(5) ya KJMT.
Kama ameshakaimu urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?
Kukaimu majukumu ya Rais hakumfanyi kuwa Rais mkuu. Hivyo bado atatambulika kama VP mpaka atakapoapishwa.
Maswali ni mengi mno!
 
Ni baada ya muda gani ndo makamu wa Rais anaapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyepo madarakani kufa au kujiuzuru?

Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu urais tayari?

Kama ameshakaimu urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?

Maswali ni mengi mno!
MATAGA mmebakia kuwaya waya tu,safari hii kanda ya ziwa ni zamu yenu kuvumilia
 
Kigogo na Chahali. Kusema kweli wamefanya kazi nzuri sana. Hasa Chahali alikuwa anatoa habari za uhakika. Nadhani alikuwa na watu inside the system ambao walikuwa wanampa habari kwa sababu maalum. Zamani nilikuwa namwona kama mropokaji lakini nitakuwa namwamini kwa vingi sasa hivi.
Kigogo anabahatisha, chahali nimemkubali kwa kuwa tokea mwanzo alisema raisi hayupo Nairobi Wala India yupo hapahapa dar.
Kigogo Leo anakwambia raisi yupo nai, kesho aanasema raisi yupo India, keshokutwa raisi yupo china, Mara amekufa, Mara sijui bado Mara hivi
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Wewe ni nani hadi ujiapize?
Ndiyo nyinyi Mungu anawapa mapigo matakatifu.

Wewe ni nani hadi uhukumu majaliwa ya binadamu mwenzako?
Au nawewe ulishiriki lile zoezi chafu la kutaka kumpora mh Lissu maisha yake?

Alafu mnakuja na ngonjera zenu za kutaka watanzania tuwe wamoja wakati nyinyi ndiyo mnapanda mbigiri ?
 
Back
Top Bottom