Mama Samia Suluhu anaapishwa lini?

Mama Samia Suluhu anaapishwa lini?

Ni baada ya muda gani ndo makamu wa Rais anaapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyepo madarakani kufa au kujiuzuru?

Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu urais tayari?

Kama ameshakaimu urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?

Maswali ni mengi mno!
Kuepusha "power vacuum" shughuli tayari imefanywa na haihitaji stage kwa sasa.

Ila bado nje ataitwa VP na itathibitishwa baadae.

Ijumaa VP atatoa ratiba kamili.
 
Ndani ya siku saba kwa mujibu wa katiba.
Na ingependeza zaidi iwe kabla ya kuzikwa Marehemu nchi haipaswi kukaa bila Mkuu wa nchi na amiri Jeshi mkuu kwa muda mrefu hata wa siku hizo saba.

Mind you hii ni tofauti na pale tunapokuwa tumetoka kwenye uchaguzi, Tunapotoka kwenye General election tunakuwa tunae Rais na wanabadilishana wakati wa kuapishwa lakini kwasasa ni kwamba kiti kipo wazi that is too bad.
Ibara ya ngapi mkuu
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Ww ndo utakuwa rais au hii nchi ya baba ako falaa ww
 
Kwani wewe humjui Tundu ?
Acha kumaanisha matusi mkuu
Nimesema sababu Kuna watu ndilo wanalotegema hilo

Anaapishwa baada ya taratibu za mazishi kuisha siunajua huu msiba ni mkubwa watu weng wakubwa wataudhuria hivyo itachukua mda kidgo
Kwani Katiba inasemaje? Anatakiwa kuapishwa bada ya Mazishi au?
Kwani wewe humjui Tundu ?
Acha kumaanisha matusi mkuu
Nimesema sababu Kuna watu ndilo wanalotegema hilo

Anaapishwa baada ya taratibu za mazishi kuisha siunajua huu msiba ni mkubwa watu weng wakubwa wataudhuria hivyo itachukua mda kidgo
Kwani Katiba inasemaje? Anatakiwa aapishwe bada ya mazishi au kabla? Lakini ki-utaratibu ilitakiwa aapishwe kabla ya mazishi ili kumfanya a-discharge majukumu kama Rais ipasavyo ukizingatia kuwa atakuwa na ugeni mkubwa wa ma-Rais.

Nakumbuka siku alipouawa Rais wa Marekani kwenye jiji la Dallas John F. Kennedy tarehe 22 Novemba,1963 Makamu wa Rais Lyndon B. Johnson aliapishwa ndani ya Air Force One mwili marehemu John F. Kennedy ukiwemo humohumo ndani ya ndege kabla ya ndege ku-take off😆😆😆😆😆 hao ni wenzetu wa majuu.

Kwahiyo Mh. Samia S. Hassan anatakiwa aapishwe kabla ya mazishi!!!!!.....hata hivyo tumekuwa wastaarabu sana kuliko wenzetu wa majuu😆😆😆
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Hvi hamjifunzi tu? Mnajiona mna hati miliki ya hii nchi na kwamba mna haki sana kuliko wengine?

Mlidai haponi ila aliyetaka kumuua ndio katangulia...... It's so bad that u had to learn in a hard way
 
Hata gereji?
Soma tena nilivyoandika: Kwa mujibu wa Kigogo ni tarhe 25. Sijui kama ni kweli. Ila Samia kuapishwa itakuwa ni tukio dogo la watu muhimu, lisilo na shangwe ma popote wanapoona panafaa.
 
Ni baada ya muda gani ndo makamu wa Rais anaapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyepo madarakani kufa au kujiuzuru?

Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu Urais tayari?

Kama ameshakaimu Urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?

Maswali ni mengi mno!

Kesho Ikulu DSM By Azam TV.
 
Kwani wewe humjui Tundu ?
Acha kumaanisha matusi mkuu
Nimesema sababu Kuna watu ndilo wanalotegema hilo

Anaapishwa baada ya taratibu za mazishi kuisha siunajua huu msiba ni mkubwa watu weng wakubwa wataudhuria hivyo itachukua mda kidgo
Ficha upumbavu wako,kama mlivyoficha habari za Ugonjwa wa Magu.
 
Kwani wewe humjui Tundu ?
Acha kumaanisha matusi mkuu
Nimesema sababu Kuna watu ndilo wanalotegema hilo

Anaapishwa baada ya taratibu za mazishi kuisha siunajua huu msiba ni mkubwa watu weng wakubwa wataudhuria hivyo itachukua mda kidgo
Anaapishwa kesho saa 4 asubuhi Ikulu ya Dar es salaam.
 
Si wamesema baada ya siku saba na tayari speaker kisha waita Wabunge waende Dodoma na kesho kutwa CCM wanakaa na kuchagua jina la makamu ...
Siyo baada ya siku 7, ni ndani ya kipindi kisichozidi siku 7.
 
Kwajinsi walivomchoka marehemu within 24hrs samia anaingia state house
 
Ni baada ya muda gani ndo makamu wa Rais anaapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyepo madarakani kufa au kujiuzuru?

Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu Urais tayari?

Kama ameshakaimu Urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?

Maswali ni mengi mno!
Kesho
 
Back
Top Bottom