Mama Samia Suluhu anaapishwa lini?

Mama Samia Suluhu anaapishwa lini?

Hahahaaa! Eti kwa mujibu wa Kigogo.

Yaani Kigogo sasa hivi ndo kawa chanzo cha kuaminika cha habari!
Naweza sema hapana lakini ame aminisha kwa tarifa zake mfano mdogo Leo MTU aku tamkie jambo alafu liwe zaidi ya Mara 3 trust me lazima umpe uwaminifu tu nasimanish aminike kigogo nop ila achachue tu siasa wanao penda
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Waisalmu wana maneno mawili makubwa,Alhamdullilah (Shukran zote anastahili Mwenyezi Mungu) na InshaAllah (Mwenyezi Mungu akipenda).
Umechagua lipi kati ya hayo?
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Relax, hakuna atakayeishi milele, kubaliana na yaliyotokea.
 
Wengine mlifikia kumsifia kwa mitazamo yake ya kihafidhina dhidi ya CORONA?.mkampa mpaka sifa za kimungu . Kiko wapi
Mtazamo wake pekee ambao bado nakubaliana nao kuhusu corona ni ‘hakuna cha rockdown’.

Kama kuna mengine, unanisingizia.

Btw, kafa kutokana na tatizo la moyo. Si Corona.
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Kosa lako ni upumbavu, bora ungekuwa mjinga
 
Kigogo anabahatisha, chahali nimemkubali kwa kuwa tokea mwanzo alisema raisi hayupo Nairobi Wala India yupo hapahapa dar.
Kigogo Leo anakwambia raisi yupo nai, kesho aanasema raisi yupo India, keshokutwa raisi yupo china, Mara amekufa, Mara sijui bado Mara hivi
Wewe umejiridhishaje kuwa hakuenda Nairobi??
 
Mtazamo wake pekee ambao bado nakubaliana nao kuhusu corona ni ‘hakuna cha rockdown’.

Kama kuna mengine, unanisingizia.

Btw, kafa kutokana na tatizo la moyo. Si Corona.
Wewe jamaa ndy maana huwa unatukanwa sana humu sijui unatumia makamasi kufikiri?
 
Kwani wewe humjui Tundu ?
Acha kumaanisha matusi mkuu
Nimesema sababu Kuna watu ndilo wanalotegema hilo

Anaapishwa baada ya taratibu za mazishi kuisha siunajua huu msiba ni mkubwa watu weng wakubwa wataudhuria hivyo itachukua mda kidgo

Unakwenda kwenda kwa hisia tu mkubwa...

Hata hujui unachokiongea wewe Destruction uliye masikini wa fikra na ufahamu...!

Pole sana
 
Kwani wewe humjui Tundu ?
Acha kumaanisha matusi mkuu
Nimesema sababu Kuna watu ndilo wanalotegema hilo

Anaapishwa baada ya taratibu za mazishi kuisha siunajua huu msiba ni mkubwa watu weng wakubwa wataudhuria hivyo itachukua mda kidgo
Hakuna ugeni kuja msibani maana Kuna covid 19.
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
We kichaa vp, umetoka lini milembe? Tunajadiri hiki wewe unaleta jambo ambalo wala halihusiani, shit.
 
Mtazamo wake pekee ambao bado nakubaliana nao kuhusu corona ni ‘hakuna cha rockdown’.

Kama kuna mengine, unanisingizia.

Btw, kafa kutokana na tatizo la moyo. Si Corona.
Hata wanaokufa kwa ukimwi haisemwi moja kwa moja kwamba wamekufa kwa ukimwi mana ukimwi siyo ugonjwa.
Hahaha
 
Ndani ya siku saba kwa mujibu wa katiba.
Na ingependeza zaidi iwe kabla ya kuzikwa Marehemu nchi haipaswi kukaa bila Mkuu wa nchi na amiri Jeshi mkuu kwa muda mrefu hata wa siku hizo saba.

Mind you hii ni tofauti na pale tunapokuwa tumetoka kwenye uchaguzi, Tunapotoka kwenye General election tunakuwa tunae Rais na wanabadilishana wakati wa kuapishwa lakini kwasasa ni kwamba kiti kipo wazi that is too bad.
Mbaya sana walafi wanaweza kutumia huu mwanya kutuibia fedha zetu huko hazina kuu , ilibidi hadi sasa awe ameapishwa.
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Wewe and the like tambueni huyu mama sio mpenda sifa na mapimbio yenu. Ni mweledi kuliko unavyo
 
Kwani wewe humjui Tundu ?
Acha kumaanisha matusi mkuu
Nimesema sababu Kuna watu ndilo wanalotegema hilo

Anaapishwa baada ya taratibu za mazishi kuisha siunajua huu msiba ni mkubwa watu weng wakubwa wataudhuria hivyo itachukua mda kidgo
Wakati mwingine kama jambo hulijui ni bora ukae kimya...

Nani alikudanganya ataapishwa baada ya taratibu za mazishi??
 
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Hebu jibu mada kwanza acha upimbi
 
Back
Top Bottom