Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,567
- 1,605
Hata kama moderator mumefuta replay yangu nachojaribu ni kuwambia watu kwamba Tundu hatokuja kuwa raisi hata baada ya 2025 kosa langu liko wapi hapo ?
Sijatukana mtu ila natoa taarifa tuu
Ndio hata kuja kuwa raisi mfahamu hilo
Sasa Tundu anaingiaje hapo? Kijana umepaniki sana, jiandae kuishi bila mbeleko ya marehemu