Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,156
- 137,179
Ni baada ya muda gani ndo makamu wa Rais anaapishwa kuwa Rais baada ya Rais aliyepo madarakani kufa au kujiuzuru?
Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu Urais tayari?
Kama ameshakaimu Urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?
Maswali ni mengi mno!
Mama Samia bado ni makamu wa Rais kwa sasa au keshakaimu Urais tayari?
Kama ameshakaimu Urais, rasmi anatambulikaje? Kaimu Rais hadi pale atakapoapishwa rasmi au?
Maswali ni mengi mno!