Mama Samia: Pamoja na kuwa makamu wa Rais, napiga goti kwa mume wangu

Mama Samia ameongea vizuri. Lakini hayo hayana msaada kwa nchi kwani ni mambo binafsi zaidi, kwetu sie tuliompa nafasi ya kazi aifanyayo haitendei haki.

Kama anaweza kuonyesha mahaba ya hivyo kwa mume aonyeshe pia mahaba kwa Watanzania kwa kumkemea kiongozi mwenza wake juu ya tabia anazofanya zinazo kosa unyenyekevu kama wakati ule anaomba kazi.

Chuki, visasi na kiburi sasa vimeshika hatamu ikiwa ni pamoja na uvunjaji wa katiba na yeye yuko kimya tuu. Akumbuke huyo sio bosi wake bali ni kiongozi mwenza wake maana walipita kuomba kura naye, na pengine kuna kura nyingi zilipatikana kwa sababu yake mama. Yeye katika uongozi huu hakuteuliwa kama Majaliwa bali kachaguliwa na hawezi kufukuzwa kazi.

Ni yeye pekee mwenye kuweza kumwambia mwenzake kuwa hili au lile ufanyalo haliko sawa bila woga wa kufanywa kitu, vinginevyo labda awe anamuona kama mumewe hivyo analinda maadili kuwa mume habishiwi wala hakosolewi.
 
Huyu naye hana cha maana alichokifanya tangu awe makamu wa rais.
Acha chuki binafsi ulitaka akugawie mshahara wake? Mama huyu amefanya kaxi kuliko makamu wote wa rais waliomtangulia. Ametembelea mikoa yote na amesafiri sana kumwakilisha rais na nchi yetu ktk mikutano yote ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom