Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,533
- 9,613
Timu zikishinda sifa huwa kwa Samia kwahiyo matokeo ya jana ni mali ya Samia Suluhu Hassan.
Jana amepigwa viwili.
Na badoDah mpasuko wa taifa mkubwa kweli ,wazalendo wanashangilia time yetu kufungwa.
Timu ya Samia sio yetu.Dah mpasuko wa taifa mkubwa kweli ,wazalendo wanashangilia time yetu kufungwa.
https://www.facebook.com/Dah mpasuko wa taifa mkubwa kweli ,wazalendo wanashangilia time yetu kufungwa.
Walifungwa ngapi?Timu zikishinda sifa huwa kwa Samia kwahiyo matokeo ya jana ni mali ya Samia Suluhu Hassan.
Jana amepigwa viwili.
2~1, kifo ni kifo tu, na bado.Walifungwa ngapi?
Kufungwa sio kudhalilika,tena tumefungwa na timu kubwa,ingekuwa tumefungwa na somalia au haiti,hapo ndio ungesema kudhalilikaTimu zikishinda sifa huwa kwa Samia kwahiyo matokeo ya jana ni mali ya Samia Suluhu Hassan.
Jana amepigwa viwili.
Pumbavu kabisa, timu zote zilizo qualify ni kubwa, samia kashikwa tako.Kufungwa sio kudhalilika,tena tumefungwa na timu kubwa,ingekuwa tumefungwa na somalia au haiti,hapo ndio ungesema kudhalilika
Wako wapi wale 98% anaosema walimpa kura washangilie timu yake? Samia ungekuwa na busara ungeondoka taratibu ili kuokoa kusambaratika kwa nchi!! Uwepo wako kwenye hicho kiti ni janga kubwa kwa nchi hii.Timu ya Samia sio yetu.