Duuuuhhh ok Jk u make me lauuuuugh, i am not u r supporter, ila hapa nakusupport, hilo ZEZE kaaaahh, ww msanii kweli, nimecheka saaaana
nimefurahi pia, ila vipi kuna huyo dada kavaa nguo za blue na nyeusi kasimama karibu na mtoto kavaa njano, is she single..? naona
ananifaa sana, i am serious let me have her contact, kazuri, naona moyo na macho yangu yamemwangalia